Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Na amecheck vyeti vyako, div one 4&6, 1st degree first class, nk hata sumu unaweza pigwa?Ukutane na Mkuu wa Idara MEN IN BLACK halafu Incompetent.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na amecheck vyeti vyako, div one 4&6, 1st degree first class, nk hata sumu unaweza pigwa?Ukutane na Mkuu wa Idara MEN IN BLACK halafu Incompetent.....
Mchengerwa ni mtu wa Haki, ni mtu asiye penda uonevu, ni mtu mchamungu wa kweli.Hataweza kulimaliza Hilo tatizo hao watu wanalindana mno Hilo asahau kulimaliza labda aweke wapelelezi wasiojulikana ndo atalipunguza
ukijiona una uwezo mkubwa na mzuri kiutendaji ni bora ukafanye kazi kwenye taasisi na mashirika binafsi kuliko kwenye umma, kama alivyo sema Waziri, utapigwa majungwa na fitina mwishowe unatupwa huko au unapotezwa kabisa porini huko.Nilishangazwa nilipotembelea Taasisi moja ya Serikali kumkuta mtu mmoja Smart....yupo porini anasimamia Taasisi ndogo....nilipokumnlbuka niliowakuta Wizarani nilichoka kabisa!
Tunasafari ndefu Sana!
mfumo wwnyewe kaka,ukiona unazubgushwa ni kuwa ishu uumeileta,mkuu wa idara hawez kusema lastly mpaka murugenz aseme.so na unakuta barua yako mpk iende masjala ishubyako ishushwe kwetu,unakuta mkui yupo kikao cha cmt inabid urud kesho tu hakuna namnakwa sisi wa taasisi na kampuni binafsi tunaofanya kazi na serikali karibu kwenye kila nyanja huwa tunabaki na mshangao namna utendaji kazi unavyofanywa isee ukweli mchungu sisi Watz bado Sana...
aise!!Tatizo watumishi wazuri wa serikali huku maofisini ndo hao wanoko huku.
tumsaidie waziri ili afanye kitu.Hakika amenena na hakuna Cha kufanya...
si wanafuata taratibu zote za kaziaise!!
huo unoko unasababishwa na nini haswa?
Tatizo nyie wa private mnajikuta mnajua sana na mnavyopelekeshwa kaa ukielezwa taasisi zenu hazina wateja wengi kuliko serikali watanzania ni wachapa kazi haswa sema wizi na Majungu.Kwa sisi wa taasisi na kampuni binafsi tunaofanya kazi na serikali karibu kwenye kila nyanja huwa tunabaki na mshangao namna utendaji kazi unavyofanywa isee ukweli mchungu sisi Watz bado Sana...
Hivi hawa jamaa hawawezagi kutenganisha siasa na dini yao wanapozungumza?, yaani mtu anajisahau kwamba hayupo kwenye nyumba ya ibada..Waziri wa Utumishi wa Umma, Mhe. Mchengerwa amesema watumishi wengi wenye uwezo mzuri wa kiutendaji wana fanyiwa mizengwe na majungu ya kuharibiwa kazi, na mbaya zaidi mabosi wao wanakuwa ni sehemu ya kuwaharibia...
That was my boss, ameletwa ofisini Ila kila kazi ananiita nimuelekeze hajui kitu maana ana miaka mingi kazini Ila sekta aliyokuwa anaitumikia ipo tofauti na yetu kule ni wizara huku ni corporate body, Kuna vikao vya bodi na Mambo tofauti hata namna ya kurespond hoja za bodi na Mambo mengine ya kuitawala.Ukutane na Mkuu wa Idara MEN IN BLACK halafu Incompetent.....
AANZE na ishu ya MBOWE ndo ataeleweka kwanza... Watu smart kichwani wanakuwa mAgaidi silaha NENO KATIBA MPYAMchengerwa umesema ukweli mpaka umepitiliza. Viongozi serikalini àmbao wengi ni wanaCCM wamekalia majungu na roho mbaya Kwa watumishi Wenye uwezo na tija. Wakiona wamewashindwa wanawachomekea kuwa ni wànachama wa CHADEMA.
hapo umenena mkuu.Waziri ana nia njema sana,atoe namba za simu apokee taarifa moja kwa moja toka wahanga.
Huyo kaolewa na mtoto wa macho kumchuziLegacy ya Lisu kwa watanzania ni ipi?
Ni kuolewa na Amsterdam watanzania wamepata shemeji wa kibelgiji