Waziri Mchengerwa anena kuhusu watumishi wazuri

Rejea comment aliotoa CAG Prof Assad, watumish wengi wa serikali Wana uwezo mdogo sn .... Tafuta smart gov employees kwa ngaz ya wilaya idara mbali mbali unawezakuta ata 50 hawafiki. If only serikali ingeweka nguvu kwenye kutatua hili wange save pesa nyingi sn, tunapoteza fedha nyingi sn sababu ya inefficiency kazini .... Waziri afanye special audit atagundua mapengo mengi sn . Kuna mahali unamkuta mtumishi wa umma hadi unajiuliza huyu kafikaje hapa, ilikuaje akawa employed ??!! That's why we cry for CHANGE
 
hilo pia ni tatizo na lipo sana ktk Mikoa mikubwa, kama vile DSM, Mwanza, Arusha, Morogoro na Dodoma.
wengi wao walio jazwa humo ni kwa kujuwana.
kama hujuani na yeyote huwezi kuhamishiwa ktk mikoa hiyo.
Mikoa hiyo ina wanyewe....na viongozi watendaji ndio wana maamuzi nani aingie nani atoke.
matokeo yake wanalundikana watu wa aina moja ambao wanalindwa na viongozi.
 
virungu vya majungu vinapigwa sana maofisini.
watu innocent wanaumizwa sana na hawana pa kulalamikia,
 
watumishi wazuri wanakatishwa tamaa na kuvunjwa moyo na viongozi watendaji wenye dhamana kwa watumishi wa chini.
wana wa frustrate kwa njia mbali mbali ili kuwakomoa na matokeo yake watumishi wanachukia kazi na hata kuichukia Serikali yao.
Matendo hayo yapo sana ktk za umma, yasipo dhibitiwa yanaondoa ufanisi kazini.
uonevu na upemdeleo wa maksudi udhibitiwe.
inatosha sasa basi
 
bado kuna kazi kubwa sana!!

Upendeleo wa wazi wazi unaendelea ktk kupandishwa vyeo, jambo hili ni hatari sana kwa umoja wa nchi yetu.

yaani unakuta watu wa imani moja wameteka nafasi zote bila kuzingatia uwiano hilo ni tatizo kubwa sana.

tunahitaji watu wenye sifa lkn pia uwiano uzingatiwe, lkn hadi leo hii baadhi ya mamlaka za uteuzi kwa maksudi hazizingatii hilo, jambo ambalo linawavunja kabisa moyo watumishi wengine.

waziri anapaswa afuatilie teuzi zote zinazo fanywa na wizara, hqlmashauri na pia mahakama.....hizi taasisi zinafanya mambo ya ajabu sana ktk kupandisha vyeo, bila kujuwana utaozea hapo hapo.
 
Bila kusahau ukabila, nililetewa zengwe kisa sio kabila la lile eneo, nashukuru nimerudi kwetu. Utumishi wa Umma una mambo.
 
Asitupe hadithi kama kweli ana nia njema, suala la kurithi uongozi au kupewa cheo kulingana na muda uliokaa kazini liondolewe. Watu wapewe vyeo kulingana na uwezo na wawe wanapimwa kulingana na malengo ya mwaka, sio mtu anaburunga wanamwangalia tu.
 
Waziri wa Utumishi wa Umma, Mhe. Mchengerwa amesema watumishi wengi wenye uwezo mzuri wa kiutendaji wana fanyiwa mizengwe na majungu ya kuharibiwa kazi, na mbaya zaidi mabosi wao wanakuwa ni sehemu ya kuwaharibia.

Waziri Mchengerwa amedhamiria kuondoa hali hiyo katika idara zote za Serikali ameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa ni kama kansa ktk utumishi wa umma.

Kwa maneno hayo ya Mhe. Waziri inaonekana kuna tatizo kubwa sana tena sana. Viongozi wa juu yaani mabosi wana waonea sana watumishi wa chini, ukionekana mwerevu tu unapigwa nyundo ya kichwa. Kuna baadhi ya watendaji wenye dhamana wanajiona wao ni miungu watu

Ushauri:
kama kweli Waziri Mchengerwa amedhamiria kuwafuta machozi wanao nyanyaswa basi aunde tume maalumu itakayo fuatilia kero za watumishi ktk kila idara za Serikali nchi nzima.

Uchunguzi ufanyike kila idara, kuna uonevu mkubwa sana, watu wanaonewa na viongozi wao bila sababu za msingi, watu wanalia hakuna wa kuwasikia.

wapo watumishi wa umma wanatamani hata kuacha kazi kutokana na uonevu wanao fanyiwa na viongozi wao wa juu, wanachafuliwa kwa maksudi ili wasisonge mbele.
Hali hii ni hatari sana endapo itaachiliwa iendelee, lazima jambo lifanyike;
kwanza kubaini matatizo hayo ktk Idara zote za Serikali, lkn pia kuwaondoa viongozi watendaji ambao wamekuwa na tabia za uonevu kwa walio chini.

Na yeye atapigwa nyunndo while in the process
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tatizo kuna mijitu untachable, yaani wapo miaka nenda miaka rudi kazi yao ni kupiga nyungdo tu wenzao.

anacho takiwa waziri ni kufanya overhaule, asafishe kabisaaa
 
Sisi tumeshatoa Ushauri kwa Mhe. Waziri Mchengerwa, kazi kwake na kwa tume ambazo zina pendekeza kupandisha vyeo muogopeni Mungu, matendo yenu yasiyo ya kiadilifu yanaweza kulichafua Taifa letu.
zingatieni uwiano wa Imani zote acheni kupendelea na kujaza watu wa aina moja, hilo halina tija kwa Taifa letu.
Uchunguzi ufanyike ktk hatua hizi za kuteua na kupandisha vyeo.

Mfano mbaya ni katika Mhimili wa Mahakama;
1. Angalia Idadi ya Majaji
2. Angalia Idadi ya wasajili
utabaini idadi kubwa ya watu wa Imani moja ndio walio hodhi.......wakati wengine wenye sifa wakiachwa nje kwa mshangao! je? unadhani mwisho wa siku mhimili huu utawatendea haki wengine?
jambo hili linafanywa kwa maksudi kabisaa.....na kuna miongoni mwa watumishi hawaridhishwi kabisa na hali hii.
uchunguzi ufanyike kabla mambo hayajalipuka.

Mhimili wa kutenda haki haupaswi uwe na taswira hii, na wala usidhani jambo hilo lina manufaa kwa Taifa.
Nchi yetu inapaswa ijengwe kwa pamoja, wale wenye sifa wapewe nafasi wasipigwe nyundo kisa ohhh.....hapana!

Hata wananchi wanayo macho wanaona kinacho fanyika.

Jambo hili lisipo semwa na kukemewa lina athari mbaya sana ktk utendaji na mshikamano wa Taifa letu lazima likomeshwe mara moja.
iwe ni kwa maksudi au bahati mbaya lkn jambo hili halina afya kabisa kwa Taifa leru.
maana sio kweli kuwa kkt karne hii eti wenye sifa ni watu wa ain moja tu sio kweli....naomba tabia hii ikomeshwe tuweke uzalendo wa Taifa letu mbele kwa kujenga nchi yetu sisi sote.
 
Bahati nzuri WAZIRI aliwahi kuwa mtumishi wa umma hivyo anaIjua figisu zote zinazo chezwa ndani, nadhani alikuwa Mahakama.
WAZIRI akishirikiana vyema Na Prof. Elisante hakika wanaweza wakafanikiwa kurekebisha uozo na unyanyasaji ulio jilita ndani Kwa ndani.
 
Watanzania tunawaomba viongozi wetu wote walio pewa dhamana ktk nafasi mbalimbali....watangulize Uzalendo mbele na pia wawe na hofu ya Mungu wakati wakatimiza majukumu yao.
mara zote wakumbuke kuwa ktk zama hizi au karne hii ni lazima nchi ijengwe kwa ushirikiano wa pamoja ili kila mtanzania mwenye sifa ashiriki kikamilifu ktk ujenzi wa nchi yao bila kutengwa na kwa kufanya hivyo tutaimarisha mshikamano na umoja kama Taifa moja lililo IMARA.
UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO/UPENDELEO NI UDHAIFU NA HATIMAYE TAIFA LITAPOROMOKA.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
hilo pia ni tatizo na lipo sana ktk Mikoa mikubwa, kama vile DSM, Mwanza, Arusha, Morogoro na Dodoma.
wengi wao walio jazwa humo ni kwa kujuwana.
kama hujuani na yeyote huwezi kuhamishiwa ktk mikoa hiyo.
Mikoa hiyo ina wanyewe....na viongozi watendaji ndio wana maamuzi nani aingie nani atoke.
matokeo yake wanalundikana watu wa aina moja ambao wanalindwa na viongozi.
aise!
inawezekana unacho kisema kikawa na ukweli.
 
Jamaa kasema kunapaswa kuwa na uwiano wa kidini au ?

Sasa huo si utakuwa udini au ?

Kwa hiyo kwenye vigezo vya kuajiriwa kwenye taasisi ya Umma kitaongezwa cha dini au ?
 
Back
Top Bottom