Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

Dahh!
Ngoja tuone itakavyo kuwa.
 
Mtu na Mkwe wake wameamua kupigiana Promotion.Mama Mkwe kamwambia Mkwewe ana kifua ndiyo maana kampa Wizara yenye fungu la kumi la Watanzania na Mkwe kaamua na yeye kumfurahisha Mama Mkwe kwa kimwambia yeye ndiye katembelea vijijini tangu Uhuru.
Hili suala nadhani tuliache,ni la kifamilia zaidi.
Tusiwaingilie!¹
 
Huyu msingi kiuno akipata kisukari anafukuzwa mana kazi imeisha
 
Ningekuwa karibu yako ningekulamba Kofi kumbe uchawa ndio unadhalilisha ivi
 
Kwa taarifa; vijijini watu huwa hawaendi kupiga kura. Fuatilia asilimia za matokeo hata kama zingeongezwa bado asilimia ya wapiga kura vijijini ni ndogo kulinganisha na waliojiandikisha.

Kuna vijana hujiandikisha ili tu kupata kadi ya mpiga kura lakini hawaendi kupiga kura! Japo ukweli ni kwamba watanzania wengi hawapigi kura, vijijini wanaongoza kwa kutopiga kura wakati wa uchaguzi!

Just imagine rais anachaguliwa na asilimia 20 ya waliojiandikisha!
 
What's your problem, hii mbona ni fasihi idhinishi inaeleweka vizuri tu? Ni lini umemuona mbowe akiongea Kinyamwezi? Ni lini umemkuta tundulissu Kanisani?
 
What's your problem, hii mbona ni fasihi idhinishi inaeleweka vizuri tu? Ni lini umemuona mbowe akiongea Kinyamwezi? Ni lini umemkuta tundulissu Kanisani?
Yeye Mchengerwa kaongelea Marais waliopita. Sasa akina Lissu wanaingiaje hapa.
 
Yeye Mchengerwa kaongelea Marais waliopita. Sasa akina Lissu wanaingiaje hapa.
Hata hao marais Wastaafu nani hakwenda vijijini , ikiwa kwao tu ni vijijini ? Hawa kwa vile kwao ni Kizimkazi basi wanadhani kila mmojo kwao mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…