Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

Mama Samia aliruhusu malipo hayo yafanyike kwa kampuni hiyo na ongezeko zaidi kwani kampuni hiyo badala ya kulipwa tsh Bil 10.9 sasa imelipwa tsh Bilioni 21.9 na chanji inabakia.

Pesa hizo zililipwa katika akaunt namba 01530390577600 CRDB, mali ya DAISY GENERAL TRADERS kwa mafungu mawili ambapo tarehe 25/3/2023 akaunt tajwa ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 2,737,986,111.86 na baadaye kiasi cha tsh 19,223,257,320.00 hivyo kukamilika kiasi cha tsh Billion 21,961,243,431.86.

Hata hivyo kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ilipata tender Wizara ya Mambo ya ndani kutengeneza sare za jeshi kwa gharama ya kiasi cha tsh Bilioni 10 na baada ya kuchelewesha inaonyesha fedha hizo zilizuiliwa kulipwa.

Katika Mazungumzo ya wamiliki wa kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ambao ni Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango na Serikali waliomba kulipwa ongezeko la tsh milioni 900 ambazo zilikuwa ni kwa ajili ya kodi na wakakubaliana hivyo. Jumla walistahili kulipwa kiasi cha tsh bilion 10.9. Cha kushangaza ni namna mgao na malipo yalivyofanyika. Baada ya kiasi cha tsh Bilioni 21,961,243,431.86 kuingizwa kwenye akaunt no 01530390577600 CRDB mali ya DAISY GENERAL TRADERS inayomilikiwa na Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango mgao ulikuwa kama hivi.

Bwana Elvis Peter Kilango inaonyesha ana akaunti no 2012322 mali yake binafsi katika Bank ya ABSA BANK TANZANIA. Ambapo sasa hapo ndio mchezo ukaanza.

Akaunt No 2012322 mali ya Elvis ikaanza kupokea miamala kama ifuatavyo.

Tarehe 30/3/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 7
Tarehe 5/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 8
Tarehe 12/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh bilion 4.9

Mpaka hapo ukipiga hesabu utaona akaunti hiyo binafsi iliingiza Jumla ya kiasi cha tsh Billion 19.9

Mgawanyo mwingine ukaendelea kwa watu binafsi sasa.

Elvis Peter Kilango alijiingizia kiasi cha tsh bilion 4,769,200,000.00
Elvis akalipa fedha kwenda kwa KARMJRR JIVANJEE LTD tsh 83,132,485.00
Malipo kwenda TOYOTA TANZANIA LTD tsh 389,161,125.00
Malipo kwa anayedhaniwa ni Mbunge ndugu LIVINGSTON JOSEPH LUSINDE tsh 10,000,000.00
Malipo kwa VELVE AUTO INVESTMENT tsh 103,776,974.00
Malipo kwa HANDCRAFT NISSAN LTD tsh Bilioni 1,061,658,000.00
Malipo kwa Paul Joseph Meela tsh Bilioni 5,000,000,000.00
Malipo kwa SANGAM INDIA LTD tsh 493,616,833.00
Malipo kwa TAJ EDGE COMPANY tsh 201,835,693.00
Malipo kwa HEAVENLIGHT EDWARD KAVISHE tsh 141,000,000.00.

Ikumbukwe ABDULHALIM HAFIDH AMEIR ni kijana pendwa wa Mama Samia anayedhaniwa kumuongoza Rais kwa kuwaondoa serikalini watu wanaopingana naye.

ANGELA KIZIGA ni Swahiba na shosti wa Rais Samia na ni Mbunge wa Afrika Mashariki aliyepitishwa Bungeni bila hata kufanya interview katika chama.
THANIA ALI ABDULA ni mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ambaye naye kwenye orodha ya wizi huu yumo.
Paul Joseph Meela ni shemeji yake na Mwigulu Nchemba yaani kaka wa mke wa Waziri wa Fedha.

Wengine tutawaletea mahusiano hayo taratibu.

Hata hivyo mgawanyo haukukomea hapo soma hapa chini utaona.

Tarehe 19/4/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00.
Tarehe 19/4/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00 (mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ndgu Masauni na mtu wa karibu na Rais Samia)
Tarehe 5/5/2023 ndugu ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ndugu ANATORI NYAKI aliingiziwa tsh 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ELVIS PETER KILANGO alijiingizia kwenye Akaunti yake kiasi cha tsh Bilioni 3,676,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 ndugu YASSIR KAROUB SEIF aliingiziwa kiasi cha tsh 300,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kwenye akaunt yake tena tsh 200,000,000.00
Tarehe 22/5/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR tena akaingiziwa kiasi cha tsh milioni 120,500,000.00

Kwa mgawanyo huo utaona kama ifuatavyo.
1. ABDULHALIM HAFIDH AMEIR amelipwa kiasi cha tsh Bilioni 1,120,500,000.00
2. Bi THANIA ALI ABDULA amelipwa kiasi cha tsh milioni 700,000,000.00
Hawa wote sio watumishi wa Umma na haijulikani wamefanya biashara gani na Serikali.
Kama mama Samia hahusiki ni vyema asimame na kuwakamata wahusika wote wa jambo hili.

Hata hivyo akaunt no 0152673620900 CRDB mali ya THANIA ALI ABDULA ndio iliyopokea pesa zote ambazo mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani alilipwa na yeye kuzigawa kama ifuatavyo.

Tarehe 27/4/2023 THANIA ALI ABDULA alimuingizia ndugu ALI JAFAR SHAURI kiasi cha tsh 100,000,000.00
Tarehe 5/5/2023 alitoa cash yeye mwenyewe kiasi cha tsh milioni 170,500,000.00
Tarehe 10/5/2023 alimuingizia pesa ndugu HAMAD MASAUN YUSUPH (mumewe) kiasi cha tsh milioni 80,000,000.00.

Hapo tunamaanisha kazi iendelee ni pamoja na hayo yote?

Nchi imeshindikana hii.

Ni mimi Mghaibuni toka Ughaibuni kunako haki na kweli naendelea kuwajuza.
Dahh!
Ngoja tuone itakavyo kuwa.
 
Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan
jpm.jpg
 
Kuna methali ya Wahenga inatumika sana Uswahilini , inasema hivi " kizuri kula nduguzo"

Ndio maana na mimi ninawaomba ndugu zangu wa JF wanisaidie kama wameelewa alichomaanisha Mhe. Mchengerwa kwenye kauli yake hii.

View attachment 2753876

---
Mchengerwa anasema

"Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani.

Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya Liwale, yale maeneo wananchi walikuwa wakiwaona viongozi wakati wa uchaguzi baada ya uchaguzi hawaoni kiongozi yoyote lakini leo hii Mhe. Rais amepita maeneo hayo kabla ya uchaguzi kwenda kushuhudia fedha anazozipeleka zinatumika ipasavyo kwa wananchi wake wanyonge na wananchi ambao wao ndio tegemeo lake akilala akiamka anawafikiria Watanzania hawa wakawaida wanyonge ambao wako kwenye hali duni anataka kuwanyanyua kuwaweka katika hali nzuri"
Mtu na Mkwe wake wameamua kupigiana Promotion.Mama Mkwe kamwambia Mkwewe ana kifua ndiyo maana kampa Wizara yenye fungu la kumi la Watanzania na Mkwe kaamua na yeye kumfurahisha Mama Mkwe kwa kimwambia yeye ndiye katembelea vijijini tangu Uhuru.
Hili suala nadhani tuliache,ni la kifamilia zaidi.
Tusiwaingilie!¹
 
Kuna methali ya Wahenga inatumika sana Uswahilini , inasema hivi " kizuri kula nduguzo"

Ndio maana na mimi ninawaomba ndugu zangu wa JF wanisaidie kama wameelewa alichomaanisha Mhe. Mchengerwa kwenye kauli yake hii.

View attachment 2753876

---
Mchengerwa anasema

"Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani.

Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya Liwale, yale maeneo wananchi walikuwa wakiwaona viongozi wakati wa uchaguzi baada ya uchaguzi hawaoni kiongozi yoyote lakini leo hii Mhe. Rais amepita maeneo hayo kabla ya uchaguzi kwenda kushuhudia fedha anazozipeleka zinatumika ipasavyo kwa wananchi wake wanyonge na wananchi ambao wao ndio tegemeo lake akilala akiamka anawafikiria Watanzania hawa wakawaida wanyonge ambao wako kwenye hali duni anataka kuwanyanyua kuwaweka katika hali nzuri"
Huyu msingi kiuno akipata kisukari anafukuzwa mana kazi imeisha
 
Kwa taarifa hiyo tu, mama kishajihakikishia kura milioni 10 za wapiga kura.

"Hakuna kama Mama"!

Sasa anapita hata vijijini, ambako hapajawahi kupitiwa na waheshimiwa wakuu kama yeye wengine, tokea Jamhuri iwepo!

Wapiga kura wapo vijijini mkuu, 'Erythro' daima nitakukumbusha wewe pamoja na chama chako kuhusu hili; pamoja na kwamba jambo lenyewe halihusiani na mada yako. Natumia fursa kukumbushia tu.
Ningekuwa karibu yako ningekulamba Kofi kumbe uchawa ndio unadhalilisha ivi
 
Kwa taarifa hiyo tu, mama kishajihakikishia kura milioni 10 za wapiga kura.

"Hakuna kama Mama"!

Sasa anapita hata vijijini, ambako hapajawahi kupitiwa na waheshimiwa wakuu kama yeye wengine, tokea Jamhuri iwepo!

Wapiga kura wapo vijijini mkuu, 'Erythro' daima nitakukumbusha wewe pamoja na chama chako kuhusu hili; pamoja na kwamba jambo lenyewe halihusiani na mada yako. Natumia fursa kukumbushia tu.
Kwa taarifa; vijijini watu huwa hawaendi kupiga kura. Fuatilia asilimia za matokeo hata kama zingeongezwa bado asilimia ya wapiga kura vijijini ni ndogo kulinganisha na waliojiandikisha.

Kuna vijana hujiandikisha ili tu kupata kadi ya mpiga kura lakini hawaendi kupiga kura! Japo ukweli ni kwamba watanzania wengi hawapigi kura, vijijini wanaongoza kwa kutopiga kura wakati wa uchaguzi!

Just imagine rais anachaguliwa na asilimia 20 ya waliojiandikisha!
 
Kuna methali ya Wahenga inatumika sana Uswahilini , inasema hivi " kizuri kula nduguzo"

Ndio maana na mimi ninawaomba ndugu zangu wa JF wanisaidie kama wameelewa alichomaanisha Mhe. Mchengerwa kwenye kauli yake hii.

View attachment 2753876

---
Mchengerwa anasema

"Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani.

Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya Liwale, yale maeneo wananchi walikuwa wakiwaona viongozi wakati wa uchaguzi baada ya uchaguzi hawaoni kiongozi yoyote lakini leo hii Mhe. Rais amepita maeneo hayo kabla ya uchaguzi kwenda kushuhudia fedha anazozipeleka zinatumika ipasavyo kwa wananchi wake wanyonge na wananchi ambao wao ndio tegemeo lake akilala akiamka anawafikiria Watanzania hawa wakawaida wanyonge ambao wako kwenye hali duni anataka kuwanyanyua kuwaweka katika hali nzuri"
What's your problem, hii mbona ni fasihi idhinishi inaeleweka vizuri tu? Ni lini umemuona mbowe akiongea Kinyamwezi? Ni lini umemkuta tundulissu Kanisani?
 
What's your problem, hii mbona ni fasihi idhinishi inaeleweka vizuri tu? Ni lini umemuona mbowe akiongea Kinyamwezi? Ni lini umemkuta tundulissu Kanisani?
Yeye Mchengerwa kaongelea Marais waliopita. Sasa akina Lissu wanaingiaje hapa.
 
Yeye Mchengerwa kaongelea Marais waliopita. Sasa akina Lissu wanaingiaje hapa.
Hata hao marais Wastaafu nani hakwenda vijijini , ikiwa kwao tu ni vijijini ? Hawa kwa vile kwao ni Kizimkazi basi wanadhani kila mmojo kwao mjini
 
Back
Top Bottom