Waziri Mchengerwa huna haja ya Kuwasumbua Watafiti wa Chuo cha Michezo Malya, bali tatizo ni hili...

Waziri Mchengerwa huna haja ya Kuwasumbua Watafiti wa Chuo cha Michezo Malya, bali tatizo ni hili...

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka.

Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria Wao na Mimi nakupa Majibu yako hapa hapa...

1. Serikali kutokuwa Makini
2. Siasa za CCM kuingia Michezoni
3. Usimba na Uyanga Uliokomaa
4. Unafiki wa Wanamichezo wa Tanzania
5. Upumbavu wa Viongozi wa Soka nchini
6. Maandalizi ya Zimamoto
7. Kutaka Kutembea kabla ya Kutambaa

Ili Tanzania yako ifanye vyema Kisoka anzia kwa haya Mambo yangu Saba (7) niliyokutajia hapa na hutokuja Kujutia kamwe.
 
Tanzainia kutoamini kama michezo ni sehemu ya taaluma na ni ajira ndoma tunajivunia kuwa na shule nyingi za kata zina majengo bila viwanja vya michezo.
 
Where is GENTAMYCINE?

Mimi naona upopoma wa viongozi wetu, ndiyo chanzo cha yote. Maana huwezi kufuzu kirahidi tu mashindano makubwa kama hayo ya Kombe la Dunia, kwa kubahatisha!


Isipokuwa ni kwa kupitia mipango, na maandalizi kabambe kwa miaka mingi. Wafanye uwekezaji mkubwa, halafu watakuja kuona matunda yake hapo baadaye.
 
Watu tayari wamepewa mchongo wa kupiga hela hapo. Na wacha wale, si wameruhusiwa bwana!
 
Back
Top Bottom