Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Anagusa Mzinga Wa Nyuki HajuiWaziri hata hajui mambo ya mpira msimamizi wake mkuu ni FIFA, anataka kujichanganya kwa kujazwa upepo wa kishabiki na Mwigulu halafu Tqnzania ije kufungiwa na FIFA ndio hawa vilaza watapata akili.
FIFA Haitaki Kabisa Serikali Kujiingiza Na Kuamua Masuala Ya Mpira