Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Kuna watu hawapaswi kuwa mawaziri. Sema ni upendeleo tu. Na pengine aliwekwa huko maliaslli kimkakati kashamaliza kazi yake.

Hata ridhiwani aridhi, makamba nishati nafikiri wamishamaliza deals zao ndo wakahamishwa
Huyu mkwe na familia ya mamamkwe, kuna uchafu mwingi wa ajabu. Hawa watu ni majambazi ya ajabu kwa rasilimali za Tanganyika kwa kiwango ambacho hakijawahi kuwepo. Wamechukua maeneo mbalimbali ya hifadhi za misitu kwa kutumia makampuni ya Uarabuni, lakini wanacholenga ni uchimbaji dhahabu, siyo uwindaji wa wanyama. Siwezi kuweka hapa kila kitu kwa kina kwa sababu watajulikana waliotoa hiyo siri, na hawa watu ni mashetani, hawapati shida kufanya mauaji. Niliambiwa kuwa waliokuwa wanashughulikia hizo deals chafu, waliambiwa wazi kuwa wakitoa siri, wakijulikana hawataishi.

Kwa kweli tupo kwenye utawala wa kishetani, kiasi kwamba siku uovu wa hawa watu utakapowekwa wazi kwa kila mtu, mshangao kwa kila mtu utakuwa wa ajabu.
 
Back
Top Bottom