Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nani amekwambia nchi hii inataka usawa? familia nzima ya Kikwete ipo bungeni, Mke na Mume Mchengerwa + mama mkwe ni Rais unategemea usawa kutoka wapi?Kwa kufanya hivyo kunakuwa na mgaongano wa maslahi.
Hivyo si Sawa.
Bila kujali ameolea wapi kiukweli Mchengerwa anapiga kazi na ndiye alistahili kuwa Naibu Waziiri mkuu!
Hawa mawaziri wengine mbwembwe tu!
Sababu ya Mchengererwa kupelekwa TAMISEMI ni kufunga goli la mkono Bila shaka..
View attachment 2741688
Huyu mkwe na familia ya mamamkwe, kuna uchafu mwingi wa ajabu. Hawa watu ni majambazi ya ajabu kwa rasilimali za Tanganyika kwa kiwango ambacho hakijawahi kuwepo. Wamechukua maeneo mbalimbali ya hifadhi za misitu kwa kutumia makampuni ya Uarabuni, lakini wanacholenga ni uchimbaji dhahabu, siyo uwindaji wa wanyama. Siwezi kuweka hapa kila kitu kwa kina kwa sababu watajulikana waliotoa hiyo siri, na hawa watu ni mashetani, hawapati shida kufanya mauaji. Niliambiwa kuwa waliokuwa wanashughulikia hizo deals chafu, waliambiwa wazi kuwa wakitoa siri, wakijulikana hawataishi.Kuna watu hawapaswi kuwa mawaziri. Sema ni upendeleo tu. Na pengine aliwekwa huko maliaslli kimkakati kashamaliza kazi yake.
Hata ridhiwani aridhi, makamba nishati nafikiri wamishamaliza deals zao ndo wakahamishwa