Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
He is looking for survival, his survival depends on Ms Samia Idd Amin DadaKwenye list ya ICC Mchengerwa hawezi kukosa maana huyu ndo anayeongoza kutoa maelekezo kwa niaba ya Samia

Wapi huko?Huyu jirani yangu pia mchengerwa Street
Ova
He is a threatjamaa na ukweni utazani kaolewa yeye
Shuka mtaa wa sele bonge kunja kushoto mbelembele utakutana na kibaoWapi huko?
Wanajiropokea tu sasaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Nchi kaigawa, Wanadaresalaam na wa kujaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Mimi labda naumwa ndugu zangu nisaidieni. Hizi fujo wanazozungumzwa na watawala zimetokea lini? nani kafanya fujo hizo? Mmewatesa watanzania lakini kubaka na kulawiti wageni ambao hawajavunja sheria yeyote mmevuka mstari.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Huyu kavimbiwa pesa za wizi anazochotewa na mama mkwe wake bila aibu na huruma.kwa watanganyikaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Wee mbna sipajui bhana, em legeza codes basShuka mtaa wa sele bonge kunja kushoto mbelembele utakutana na kibao
Ova
Swali zuri sana.Kuna vurugu gani?
Yako wapi?Maandishi yako hapa JF
Kwani yeye hana akili, anauziwa msala hivi hivi. na hivi usa kesha sema nenoChalamila kapewa Rungu
Mchengelwa alitoa maagizo kama haya huku mbeya na baada ya hapo Mdude akapotea . Vip baada ya maagizo haya DSM nani anafuata?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.