Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Hujasikia mabeberu wanapanga kuanzisha Arab rising?..🤗Kuna vurugu gani?
Hapo inabidi aongezee ''Mimi ndio namt*mba mtoto wa rais na Rais akanipongeza kwa kunipa Uwaziri ''Asipate shida kujieleza.
Yeye aongee tu, halafu sisi tutajua tu anaongea kama nani?
Huyu akiachiwa aendelee kutoa vitisho atamaliza watanzania,kauli kama hii alipomaliza kuitoa kule mbeya Mdude akatekwa na hajapatikana mpaka sasa hivi Kuna haja ya kumhusisha na haya yanayoendelea ya utekaji.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Waambie ukweli Hawa machawa uchwara hawajitambui kabisa!Watanzania hawavumilii bali wanawachana makavu. Kupewa makavu ndio wao hawataki wanaita uvunjifu wa amani😂! Yani ukisema wazi wasichokipenda wana mbogamboga jua your days are numbered.
Aisee! Wewe ni kiboko wallah! Chukua 5! Daaadeki!Hapo inabidi aongezee ''Mimi ndio namt*mba mtoto wa rais na Rais akanipongeza kwa kunipa Uwaziri ''
Hiki ndicho CCM na Serikali yao wanakiogopa. Wanafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanaua NRNE baada ya kubaini imewaingia Wananchi vizuri. Kuna mabilioni yametengwa! huwezi aminiMimi nawaomba waTanzania, wawanyime hawa majangiri vyote: "legal legitimacy'; kwa kutimiza "NO ELECTION", na wawanyime "political legitimacy", kwa kutopiga kura kabisa.
Wanachotaka ni hao 5M, halafu akina Rungwe na Zitto wapewe Ubunge ili kuwe na upinzani japo feki.Hadi sasa wanaamini kuwa wanaweza ku'mobilize' wanachama wao wajitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi. Wakipata wapiga kura milioni tano tu, watadai kuwa uchaguzi ulifanyika, na wamepata ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 90 (kama ilivyokuwa na ule wa serikali za mitaa 2024).
Katika uhuni CCM hawajali namba, wanachotaka ni watu laki 2 basi wanaenda kujiapisha uwanja wa TaifaHawa milioni tano hawafiki hata asili mia 25 ya watu wenye sifa ya kupiga kura Tanzania. Sasa sijui kweli kama hiyo bado itakuwa ni "legal legitimacy' ya kuzungumzia popote!
Tatizo ni njaa za baadhi. Kuna mabilioni yametengwaNinaamini kabisa kwamba waTanzania safari hii wanaweza kabisa KUZUIA uchaguzi usifanyike, kama kutakuwepo na uongozi wa ku-coordinate vizuri juhudi zao za kukataa kunyimwa HAKI yao ya msingi, i.e., kuchagua viongozi wanaowataka wawaongoze.
Unajuwa?Tatizo ni njaa za baadhi. Kuna mabilioni yametengwa
Hii kauli waliitia may24 na oktoba 29 wakatekeleza..Kuna vurugu gani?