PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri ametimiza wajibu wake, hongera zake. Wabanwe mbavu kila kona mambwa hao. Magufuli alikuwa cmwanaume hayo mazombie yalikimbia nchi yalikuwa hayakohoi. Samia alikosea sana kuyarudisha nchini nyoka ni nyoka tu. Mbn mzee Mwinyi hamkurudi Oscar Kambona? Lissu siyo kiumbe cha kuichekea, Heche ni jitu lisilo na ustaarabu ht ulifanyie nini

..wanaoleta vurugu na kutishia amani yetu ni Polisi kwa niaba ya Mama Abduli.
 
Huko kwenye depth sasa simo labda

Ritz na FaizaFoxy wanaweza elezea merit.

Mimi nipo kutwanga tu wanasiasa wanafiki hata kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya dini.

..kila kitu wamekifanya kuwa cha kipuuzi.

..hata hijja nayo wameifanya kuwa jambo la hovyo hovyo.

..nadhani uliona mizaha aliyokuwa akifanya Mwijaku chawa wa Mama alipokwenda hijja.
 
Huyu atakuwa kinara wa hao watekaji na wauaji. Huyu, watu wakimkosoa mkwewe ndiyo anaita vurugu!
 
..kila kitu wamekifanya kuwa cha kipuuzi.

..hata hijja nayo wameifanya kuwa jambo la hovyo hovyo.

..nadhani uliona mizaha aliyokuwa akifanya Mwijaku chawa wa Mama alipokwenda hijja.
Ndio maana hizo sarakasi zao ni kama tunawakumbushia tu humu.

Mwijaku is entitled to misbehave, he is not regarded as a role model at least in my life view (but then the view is not shared with everyone else even in this forum).

Lakini unafiki wa Mchengerwa unashangaza being a national keader kwa kwa nafasi yake. Kitendo cha kutangaza Hijja yake kwenye kadamnasi kinatakiwa kwenda na tabia zake baada ya kurudi.

Anyway kwa sasa sina muda wa kuwaongelea mataahira nyimbo za ‘Zuchu ft D Voice’ walau kwa sasa zina make sense; kuliko kuja humu kujifanya mcha mungu.

Alamsiki
 
Na sasa wanajiandaa kufanya hivyo hivyo na uchafuzi wa Oktoba!
Sina hakika kama safari hii waTanzania watakubali.; hasa NRNE ikiwakolea vyema vichwani wananchi.
Waziri ana kiburi sana. Anaposema TAMISEMI ipo chini ya Ofisi ya Rais kweli, lakini ujumbe ni kwamba ana ripoti kwa Rais. Mchengerwa amekuwa ''de facto'' PM au VP, sidhani wawili hao wanaweza kumwambia kitu.

Uchaguzi utafanyika ili kupata ''legal legitimacy'' ya kikatiba, lakini hadi sasa wanapoongeza muda wa Daftari la kura na kampeni zote wanatambua hawatapata ''political legitimacy''.

Ukisoma ''mood'' ya Watanzania katika ''court of public opinion'' kuna ''writing on the wall''

JokaKuu
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.

Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.

"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"

"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."

"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"

"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"

"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"

"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"

Dogo mchengerwa tambua hii kitu kuwa Mama Mkwe wako hatakiwi na Watanzania walio wengi, Mama yako anaboronga mno na ndiyo maana hatakiwi, unataka tunyamaze tu? Wewe umeona wapi watu wanatekwa yeye anakaa kimya tu akichekelea, angekamatwa shemeji yako Abdul wewe na Mama yako mngesemaje?
 
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
Ngoja tuone this time Nani anapotezwa, last time alivyosema huu upumbavu wake Mbeya, siku iliyofuata Mdude_Nyagali akapotezwa na Askari kutoka Mbeya Central wakishirikiana na Mkuu wa Mkoa mpumbavu
 
Mshasikia habari ndiyo hiyo sasa tulizeni vipapa chini
 
Ndio maana Hijja sio swala la pesa.

Watu wanaenda huko wakiwa washamaliza anasa.

Sasa alienda Macca kufanya nini wakati bado ajamaliza kutenda dhambi.

Mkuu, mambo ya Uislam ungeacha tu kuyazungumzia bila ya Elimu. Hakuna sharti kuwa ukitaka kwenda Hijja ni sharti uwe umemaliza kutenda dhambi. Hijja ni nguzo katika nguzo za Uislam. Ni wajibu kwa mwenye uwezo wa kuhiji kwenda Hijja.
 
Sawa kiongozi

Ndio maana nikaweka wazi uelewa wangu wa dini ni ‘tia maji-tia maji’.

Mimi ninavyojua mtu akitoka Hijja anatakiwa kwenda mbele kuwa mcha mungu.

Kama siko sawa, siko sawa huo ndio uhalisia.
 
Mbona pesa za madini zinazotoka nje ya Dar es Salaam zinajenga Dar pia?
 
..kila kitu wamekifanya kuwa cha kipuuzi.

..hata hijja nayo wameifanya kuwa jambo la hovyo hovyo.

..nadhani uliona mizaha aliyokuwa akifanya Mwijaku chawa wa Mama alipokwenda hijja.

Mwijaku alishakemewa kwa kile alichokifanya, Allah atuongoze sisi na yeye katika njia iliyonyooka. Hakunyamaziwa.
 
Back
Top Bottom