GwajiBoyMchengelwa alitoa maagizo kama haya huku mbeya na baada ya hapo Mdude akapotea . Vip baada ya maagizo haya DSM nani anafuata?
GwajiBoyMchengelwa alitoa maagizo kama haya huku mbeya na baada ya hapo Mdude akapotea . Vip baada ya maagizo haya DSM nani anafuata?
Kutoa Maisha yao au ya Wengine? Mleta mada hebu nyoosha maelezo ili tuchangieWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, wameungana kutoa onyo kali kuhusu ulinzi wa amani ya jiji, wakisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi kwa watu wanaojaribu kuvuruga utulivu wa jiji na nchi.
Mchengerwa, akizungumza siku ya Jumamosi mbele ya zaidi ya wamachinga kutoka masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kuliombea Taifa ameeleza kuwa vurugu nyingi zinazojitokeza jijini humo husababishwa na watu kutoka mikoani au hata nje ya nchi, na si wakazi halisi wa jiji hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameagiza mamlaka za mkoa, chini ya uongozi wa Chalamila, kuchukua hatua kali dhidi ya wachochezi hao.
View attachment 3344454
Wengine sio mawaziri wa nchi?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, wameungana kutoa onyo kali kuhusu ulinzi wa amani ya jiji, wakisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi kwa watu wanaojaribu kuvuruga utulivu wa jiji na nchi.
Mchengerwa, akizungumza siku ya Jumamosi mbele ya zaidi ya wamachinga kutoka masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kuliombea Taifa ameeleza kuwa vurugu nyingi zinazojitokeza jijini humo husababishwa na watu kutoka mikoani au hata nje ya nchi, na si wakazi halisi wa jiji hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameagiza mamlaka za mkoa, chini ya uongozi wa Chalamila, kuchukua hatua kali dhidi ya wachochezi hao.
View attachment 3344454
Huyu jamaa anavyozidi kuongea ndivyo anazidi kumharibia mama mkweWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, wameungana kutoa onyo kali kuhusu ulinzi wa amani ya jiji, wakisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi kwa watu wanaojaribu kuvuruga utulivu wa jiji na nchi.
Mchengerwa, akizungumza siku ya Jumamosi mbele ya zaidi ya wamachinga kutoka masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kuliombea Taifa ameeleza kuwa vurugu nyingi zinazojitokeza jijini humo husababishwa na watu kutoka mikoani au hata nje ya nchi, na si wakazi halisi wa jiji hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameagiza mamlaka za mkoa, chini ya uongozi wa Chalamila, kuchukua hatua kali dhidi ya wachochezi hao.
View attachment 3344454
Upo kwenye mawazo yanguAmani ya kulinda matumbo Yao
HayoYako wapi?
Wewe mbwa Mcherengwa, Malaya zako wewe Samia na Mwanu. UTULIVU GANI WAKATI WATU WANAUAWA NA HUYO MAMA MKWE WAKO SAMIA.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Duuuh!!!Wewe mbwa Mcherengwa, Malaya zako wewe Samia na Mwanu. UTULIVU GANI WAKATI WATU WANAUAWA NA HUYO MAMA MKWE WAKO SAMIA.