PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanajiropokea tu sasa
 
Nchi kaigawa, Wanadaresalaam na wa kuja
Duuuuuuuuu
Bingo!
 
Mimi labda naumwa ndugu zangu nisaidieni. Hizi fujo wanazozungumzwa na watawala zimetokea lini? nani kafanya fujo hizo? Mmewatesa watanzania lakini kubaka na kulawiti wageni ambao hawajavunja sheria yeyote mmevuka mstari.
 
Huyu kavimbiwa pesa za wizi anazochotewa na mama mkwe wake bila aibu na huruma.kwa watanganyika
 
Mchengelwa alitoa maagizo kama haya huku mbeya na baada ya hapo Mdude akapotea . Vip baada ya maagizo haya DSM nani anafuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…