PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, wameungana kutoa onyo kali kuhusu ulinzi wa amani ya jiji, wakisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi kwa watu wanaojaribu kuvuruga utulivu wa jiji na nchi.

Mchengerwa, akizungumza siku ya Jumamosi mbele ya zaidi ya wamachinga kutoka masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kuliombea Taifa ameeleza kuwa vurugu nyingi zinazojitokeza jijini humo husababishwa na watu kutoka mikoani au hata nje ya nchi, na si wakazi halisi wa jiji hilo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameagiza mamlaka za mkoa, chini ya uongozi wa Chalamila, kuchukua hatua kali dhidi ya wachochezi hao.

Your browser is not able to display this video.
 
Kutoa Maisha yao au ya Wengine? Mleta mada hebu nyoosha maelezo ili tuchangie
 
Wengine sio mawaziri wa nchi?
 
Huyu jamaa anavyozidi kuongea ndivyo anazidi kumharibia mama mkwe
 
Wewe mbwa Mcherengwa, Malaya zako wewe Samia na Mwanu. UTULIVU GANI WAKATI WATU WANAUAWA NA HUYO MAMA MKWE WAKO SAMIA.
 
Wewe mbwa Mcherengwa, Malaya zako wewe Samia na Mwanu. UTULIVU GANI WAKATI WATU WANAUAWA NA HUYO MAMA MKWE WAKO SAMIA.
Duuuh!!!

Mzee, fikiria hata familia tu.

Taifa letu linaongozwa na watu wenye hasira mzee!!!

Na mtu mwenye hasira hajipi muda wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…