Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache tu watapigwa bei mpaka wakome kuna tofauti kubwa kati ya kutoa huduma na kufanya biasharaHivi wewe huwa una akili kweli, au shule mgogoro
Ndiyo amekutuma?
Inanikumbusha yule Mkurugenzi aliyesimamishwa kwa sababu amenunua Vieiti. Jafo akawasimamisha wengine, akaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu ubadhirifu huo! Kumbe wao ndio waliotoa kibali cha ununuzi wa gari hiyo. Au yule Meneja wa Tanroad aliyesimamishwa kwa sababu barabara mbaya, kumbe wao hawajampelekea fedha za matengenezo. Au yule wa Tanesco aliyesimamishwa kwa sababu umeme unakatikakatika. Kumbe hakupelekewa fedha za maintenance ingawa amekuwa akiwaomba sana na kila wakati.Huwa mkurupukaji na anatoa amri zisotekelezeka na bila sababu ya msingi! Aliwahi sema zile nyumba zote zipo karibu na nyaya za umeme na hawafugi umeme, mkuu wa wilaya awakamate! Juzi tu anasema meneja wa IT wa tanesco asimamishwe siku 10 loo !
OkayPamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania.
Kampeni ya kumchafua na kumshambulia ikemewe kwa nguvu zote.
Kuna madadali wa kununua umeme wa gesi wameanza kampeni ya kumchafua na kumchomekea Mama wale matapeli wa zamani
Kama Professa Muhongo na Ngeleja ili ili waanze upigaji tena.
nguzo tumeambiwa ni 27000 na tanesco wanatuuzia kwa 300,000/- alafu yeye kakaa kimya, okay mama kagutuka anaanza kuondoa SUKUMA GANG.Tayari pamoja na maombi yako.
Kaondoka na rekodi zakeaondolewe kwa sababu gani?! kwa ajili ya wahujumu? wataondoka wao sio Dr. Kalemani.
Dr. Kalemani Kazi yake imetukuka na jitihada zake za kizalendo zinajieleza zenyewe kamwe hakuna wa kumchafua na akachafuka.
Rekodi yake inamfuata popote pale alipo, wasijaribu kupima kina cha maji
Na aliyewekwa vipi ?Mzee wa 10% kaondolewa
Nguzo haiuzwi ndugu. Unanunua nguzo ili ukaifanyie kazi gani. Ile ni huduma ya umeme kulingana na umbali uliopo.nguzo tumeambiwa ni 27000 na tanesco wanatuuzia kwa 300,000/- alafu yeye kakaa kimya, okay mama kagutuka anaanza kuondoa SUKUMA GANG.
Jana nilikuwa nawaza! Kwa Miongo 10 hii iliyopita ukiniambia kidunia Rais gani bora kwangu namuona Xi-Jiping wa [emoji630] China.nguzo tumeambiwa ni 27000 na tanesco wanatuuzia kwa 300,000/- alafu yeye kakaa kimya, okay mama kagutuka anaanza kuondoa SUKUMA GANG.
He is asking in terms of the numberUkisema makampuni mangapi unamaanisha nini?
Ninavyojua wana shirika linaitwa KPLC ambalo ni shirika linamilikiwa na serikali ya Kenya kama hapa kwetu TANESCO linamikiwa na serikali ya JMT