MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usahaulifu unawasumbuazamani si tulikuwa tunasifu ni mkao wa wastaarabu na tukaubatiza jina FOUR YA JK leo imekuwaje tena
Dar Kitu kidogo tu wanalalamika! By mama Samia!Kwani alikuwa kwenye interview ya ajira?
Tupunguze malalamiko ,furahia maisha tu jinsi yalivyo Kuna vitu huwezi kubadilisha.
Boya mmoja hiviMkamba ndiyo nani?
Hakunaga kitu kama kiongozi mwenye upeo mdogo, ukishakua na upeo mdogo tulia uongozwe. Hatuwezi kutoka kwa akili kubwa kama Dr. JPM halafu tuongozwe na hilo garasa la mbumbuliMakamba ni 'zero brain' lakini anashaurika!
Kiongozi mwenye upeo mdogo anayeshaurika ni bora mara mia ya kiongozi mwenye upeo mkubwa, asiyeshaurika! 😎
Hapo ni Waziri Mkuu wa Spain akiwa na Rais Ruto kenya
View attachment 2404352
Ingawa tunamsagia kunguni sana lakini this now is too much.
Thinking capacity zinatofautiana baina ya MTU na MTU ! Wengine wanaamini ukiwaiga iga wakubwa fulani wanavyovaa au wanavyoweka mapozi kwenye kadamnasi basi na wewe utakuwa au utaonekana uko sawa au unastahili kuwa kama wao !!! Usisahau watu wengi wanaamini siasa ni uongo uongo tu. !! Hagar an !