Waziri Mkamba leo kwa mkao huu nimeamini kuwa wewe una dharau na umelelewa vibaya

Mwisho nilitaka kuandika hatar sn ! Simu inazingua sana hii
 
Wasukuma mmeanza majungu huo mkao hata mstaafu alikuwa anakaa hizo enzi zake mkasema ni raisi ajae baada ya jiwe

Kuimba kupokezana makamba kaa utakavyo 🚮🚮🚮🚮
 
Wasukuma mmeanza majungu huo mkao hata mstaafu alikuwa anakaa hizo enzi zake mkasema ni raisi ajae baada ya jiwe

Kuimba kupokezana makamba kaa utakavyo 🚮🚮🚮🚮
Kwakweli !
 
Wenya haiba zao.
 

Attachments

  • 20221103_121258.jpg
    136.6 KB · Views: 3
Mimi binafsi simkubali kabisa Makamba, lakini katika hili la hii picha sijaona shida yoyote, ni pause lake la kawaida sana.
Chuki binafsi zisizidi sana.




During a conversation, sitting with crossed legs is seen as disinterested especially if your foot is pointing towards the door or away from the person you are talking to. Experts have noted that in a business setting, one sitting with a crossed leg is more likely to reject ideas, speak less, or even be inattentive compared to those sitting with open gestures. Worse, if you cross your arms also then it is a clear indication of your withdrawal from the conversation.
 
Makamba ni 'zero brain' lakini anashaurika!
Kiongozi mwenye upeo mdogo anayeshaurika ni bora mara mia ya kiongozi mwenye upeo mkubwa, asiyeshaurika! 😎
Inahitaji upeo mkubwa zaidi kumshauri kiongozi mwenye upeo mkubwa. Kwa bahati mbaya kwetu viongozi wenye upeo mkubwa na washauri ni nadra kutokea.

Mnaweza kupata kiongozi mkakosa washauri, au mkapata washauri na kukosa kiongozi.

Heri hilo la pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…