Kwani ni jukumu lao kujitengenezea furniture za kukalia…?Hao,wametaka waonekane.
Wanapenda kulialia&kutaka public sympathy.
Sijui ni kwa nini hawajipendi,hivi kweli hata furnitures tu wanashindwa kutengeneza kupitia fedha za elimu bure?
Maafisa wazima na elimu zao,wanafurahia kukalia madawati ya wanafunzi?
Aah...ni ajabu.
Ajabu iliyojeeMke wa waziri mkuu mstaafu analipwa pensio na yeye mpaka afe.[emoji2][emoji2][emoji2]
Ndo maana wengi wanakimbia ualimu.Ila hii Nchi hatujaliani sana ...
Yaani wote ni Watumishi wa Serikali, Tena unaweza Kuta mmesoma wote Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ila mmoja Mwalimu mwingine ni Mwanasheria.
Mmoja anaajiriwa Wizara ya Fedha kama Mwanasheria ila mwingine anaajiriwa kuwa Mwalimu.
Huyu mwingine anakuta ofisini kwake Kuna Meza na Kiti kizuri cha Kuzunguka pamoja na Chai ya Ofisini
Huyu Mwingine anaingia Darasani ambapo hakuna Kiti Wala Meza
It's unfair Wakuu
Hebu Viongozi waangalie hili suala
Kabisa, huwezi kufanya kazi kwenye mazingira hayo na ukafurahia kazi YakoNdo maana wengi wanakimbia ualimu.
NakaziaKuna muda unaongeaga ujinga sana wewe bibi
Inaonekana huna mume lugha chafu,sema upungiziwe stress.Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
600m😃Huku si ndo kule mtu alinunua gari la 600M
Majaliwa yupi? PM?Ila sometime walimu wapo na ujinga mwingi jukumu la kusimamia shule sio la mtendaji wao wanakubali vipi kupokonywa viti hivi huyo mtendaji anaweza kwenda zahanati akapokonya vitanda kuna mazingira ya kudhalauliwa wameyatengeneza hapo, ndio maana Majaliwa aliwachapa viboko nadhani angenikuta Mimi Sasa hivi angekuwa waziri mkuu mwenye jicho moja.
Hata la milioni 50 linatosheleza kabisa.Hivi gari la milioni 60 land cruiser halifikishi wakubwa kwa wakati mpaka v8?
Wewe itakuwa ndiyo hao walimu wa kusonesha ujinga.Inaonekana huna mume lugha chafu,sema upungiziwe stress.
upumbavu wao ni nini au uko wapi? ulitaka wasuse kufundisha?who is to gain from that?Hao waalimu ndio wajinga na wapumbavu.
Ukikubalika mtu akudharau kisa sababu ya umaskini au elimu au kipato chako nawe ukafanya kile alichokuamuru wewe ni Mpumbavu
ungeona mwalimu mmoja wao kavaa kobaz ungemteteaMapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Huyo huyo PM aliwahi wachapa viboko wenzake Google utapata taarifa vizuriMajaliwa yupi? PM?
Kassim hajawahi kufanya huo upuuzi.
Yeye mwenyewe, nafikiri, kitaaluma ni Mwalimu.