Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

Mi sipendagi dharau kiukweli huwezi nifanyia huo upuuzi tena mtendaji sijui mwenyekiti wa kijiji Alooooooohh

Kitendo cha kukubali huo upuuzi Elimu haijawasaidia hao walimu kiukweli!

Afu sasahivi Kuna changamoto sana ya madawati mashuleni

Hii Elimu bure kuna sehemu imekwama
Inasikitisha sana...
 
Duh kuna walimu vilaza,ila mimi sio kilaza,kiti changu kingekuwa cha mwisho kupelekwa kwa wanafunzi baada ya kumung'oa jino mwenyeketi wa bodi/kamati yashule na mtendaji kurudi kwake akiwa na bandeji usoni.


Walimu tujitambue,tuache kuwa wanyonge.
 
Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?

Hao wangechapwa na fimbo juu.

Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Wewe bibi si ungekaa tu kimya kuliko kuandika huu uharo ulioandika? unawashwa washwa sana wewe.
 
Hao waalimu ndio wajinga na wapumbavu.

Ukikubalika mtu akudharau kisa sababu ya umaskini au elimu au kipato chako nawe ukafanya kile alichokuamuru wewe ni Mpumbavu
Saa nyingine kukaa kimya ni busara. Hao waalimu wana hekima mno na upendo kwa wanafunzi. Wakiamua kuzira ni majanga kwa hao wanafunzi. Siku nyingine tumia akili ku-comment
 
Aliyewaajiri anapaswa kuwapa vifaa vya kazi ikiwemo viti na meza. Madawati ni ya wanafunzi_ walimu wapewe meza, dawati, chaki, kifutio cha ubao,kalamu nyekundu na maandalio. Madawati si yao_ mtendaji yuko sawa
 
Huu ni uamuzi wa kijinga kabisa kuwahi kufanywa na serikali hii ya kisadikika. Hivi kwanini hasa walimu wanatendewa uovu kiasi hiki?
Kwakweli kumshauri ndugu yako kuwa mwalimu ni kumshauri ku “commit suiced”
 
Aliyewaajiri anapaswa kuwapa vifaa vya kazi ikiwemo viti na meza. Madawati ni ya wanafunzi_ walimu wapewe meza, dawati, chaki, kifutio cha ubao,kalamu nyekundu na maandalio. Madawati si yao_ mtendaji yuko sawa
Kwa hiyo hao walimu wakalie sakafu huku wakiendelea kuwafundisha na kusahihisha mitihani na madaftari ya wanenu …! Hivi wewe ni mzima kabisa?
 
Back
Top Bottom