Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wanayanunua kwaajili ya fahari, tambo na majivunoHivi gari la milioni 60 land cruiser halifikishi wakubwa kwa wakati mpaka v8?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanayanunua kwaajili ya fahari, tambo na majivunoHivi gari la milioni 60 land cruiser halifikishi wakubwa kwa wakati mpaka v8?
Mi sipendagi dharau kiukweli huwezi nifanyia huo upuuzi tena mtendaji sijui mwenyekiti wa kijiji AlooooooohhPole yao sana...
Inasikitisha sana...Mi sipendagi dharau kiukweli huwezi nifanyia huo upuuzi tena mtendaji sijui mwenyekiti wa kijiji Alooooooohh
Kitendo cha kukubali huo upuuzi Elimu haijawasaidia hao walimu kiukweli!
Afu sasahivi Kuna changamoto sana ya madawati mashuleni
Hii Elimu bure kuna sehemu imekwama
Waalimu wameonewa.Swali gani na una muuuliza nani? Walimu wamefanya kosa gani?
Kumbe hata wewe huwa huna akili kiasi hiki?Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Waliomchangia bi kizimkazi hela ya fomu ni waalimu wakuu siyo hao waliokalia vitabu. Waonee huruma haoKama waliweza kumnunulia fomu ya uchaguzi mama inakuwaje washindwe kujinunulia viti vyao, usiwatetee hao, pia wapigwe marufuku kukalia vitabu kwani kutabu hakisomwi kwa makalio kinasomwa kwa macho.
Halafu wanachangia hela CWT na kufanya sherehe ya 7b!Walimu watakuwa hawajui haki zao
Serikali iwajali watumishi wake na iwajibike, sio inajali wanasiasa tu.walimu wajitole walau kujichongea meza na kiti
sijui lakini ni wazo tuh
Hao Wamemlipia Form Mgombea Wa CCMDuh kuna walimu vilaza,ila mimi sio kilaza,kiti changu kingekuwa cha mwisho kupelekwa kwa wanafunzi baada ya kumung'oa jino mwenyeketi wa bodi/kamati yashule na mtendaji kurudi kwake akiwa na bandeji usoni.
Walimu tujitambue,tuache kuwa wanyonge.
nafikiri watafikiwa katika hilo...chama cha mapinduzi kimekua mstari wa mbele kuwajali watumishi wa uma kila kukichaSerikali iwajali watumishi wake na iwajibike, sio inajali wanasiasa tu.
Wewe bibi si ungekaa tu kimya kuliko kuandika huu uharo ulioandika? unawashwa washwa sana wewe.Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Saa nyingine kukaa kimya ni busara. Hao waalimu wana hekima mno na upendo kwa wanafunzi. Wakiamua kuzira ni majanga kwa hao wanafunzi. Siku nyingine tumia akili ku-commentHao waalimu ndio wajinga na wapumbavu.
Ukikubalika mtu akudharau kisa sababu ya umaskini au elimu au kipato chako nawe ukafanya kile alichokuamuru wewe ni Mpumbavu
Kwa hiyo hao walimu wakalie sakafu huku wakiendelea kuwafundisha na kusahihisha mitihani na madaftari ya wanenu …! Hivi wewe ni mzima kabisa?Aliyewaajiri anapaswa kuwapa vifaa vya kazi ikiwemo viti na meza. Madawati ni ya wanafunzi_ walimu wapewe meza, dawati, chaki, kifutio cha ubao,kalamu nyekundu na maandalio. Madawati si yao_ mtendaji yuko sawa