Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

Wewe ni mpumbav..kwa kiwango cha lami.
Mwalimu hana jukumu la kununua vifaa vya shule, hiyo ni kazi ya serikali
Walimu wanalo jukumu la kuijulisha serikali kuhusu mahitaji yao ya vitendea kazi, wasijibwatike huku wakivizia madawati ya wanafunzi ambayo hupelekwa kulingana na idadi ya wanafunzi, hapa si jukumu la wanafunzi kuwaombea viti na meza walimu.
 
Sio jukumu la mwalimu kuomba meza wala kiti...acha ufala.
Ni kazi ya serikali kujenga ofidi yenye fanicha zote.
Huwezi kuita ofisi bila kuwa na viti.
 
Walimu wanalo jukumu la kuijulisha serikali kuhusu mahitaji yao ya vitendea kazi, wasijibwatike huku wakivizia madawati ya wanafunzi ambayo hupelekwa kulingana na idadi ya wanafunzi, hapa si jukumu la wanafunzi kuwaombea viti na meza walimu.
Ila kuna mpuuzi mmoja anatembelea gari za million 700 bila tabu tena sio moja
 
Huruma sana
Nchi hii ina watu wenye upeo mdogo wanapitwa hata na panya.

Inapoitwa shule masna yake;
Ina madarasa yenye madawati
Ina ofisi ya walimu yenye samani zake.

Kuna kenge maji zinagirojoka humu tu.

Sema waalimu hao pichani nao maandazi, mimi huninyang'anyi kiti eti niingie ofisini au darasani kufundisha
 
Tatizo la walimu wetu hapa nchini walisha ambiwa kuwa mtaaani Kuna walimu wengi kwamba ukidai haki zako unaweza poteza kazi,na walimu wetu walio wengi wanaamini kuwa hawawezi ishi bila kazi ya ualimu, sasa unakuta walimu wengi wanadhalilishwa , Kila mtu anajidai boss anatoa maagizo ambayo hayana miguu Kwa mwalimu wa Tanzania,na wenyewe wako kama mazombi tu Kila kitu kwao ni YES papaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Tatizo ni walimu hawajui kudai haki zao
 
Hata kama mnadharau walimu ifike mahala waheshimike jamani.Upokonye walimu madawati ya kukalia kweli?Kosa ni Lao au la serikali?Kwa hiyo mitihani ya wanafunzi wanasahisha wakiwa wamekaa sakafuni au juu ya vitabu? Watu wanawafundishia watoto badala muwathamini mnawadharau,na wakiacha kuingia darasani?HII NI DHARAU KUBWA MNO KWA WALIMU NA WALIOFANYA HIVYO WACHUKULIWE HATUA
 
Back
Top Bottom