kweleakwelea JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 3,072 Reaction score 1,545 May 10, 2021 #21 Sasa mama ahamie na tunduma / nakonde mpakani na Zambia.....nako kuna figisu figisu
K King Bill JF-Expert Member Joined Feb 8, 2021 Posts 683 Reaction score 1,119 May 10, 2021 #22 tzkwanza said: Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia. Click to expand... Mwendazake alikuwa anamawazo primitive sana! Halafu kwa kuwa kuna watanzania wenzetu wengi ambao mind zao ni primitive walikuwa wanamshabikia! Kusema ukweli jamaa alikuwa anatupeleka shimoni kabisa na huo uprimitive wake!
tzkwanza said: Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia. Click to expand... Mwendazake alikuwa anamawazo primitive sana! Halafu kwa kuwa kuna watanzania wenzetu wengi ambao mind zao ni primitive walikuwa wanamshabikia! Kusema ukweli jamaa alikuwa anatupeleka shimoni kabisa na huo uprimitive wake!
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 May 10, 2021 #23 tzkwanza said: Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia. Click to expand... Hasa ile mipaka ya uchagga na Kenya aliichukia kimamba.
tzkwanza said: Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia. Click to expand... Hasa ile mipaka ya uchagga na Kenya aliichukia kimamba.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 10, 2021 #24 Wote tunafurahi kwa sasa