Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.