Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.

Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.
View attachment 2474173
Asante Mh Waziri , tulishaanza kutishwa

FB_IMG_1672916391705.jpg
 
Back
Top Bottom