Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mawaziri Wasiojitambua Ndiyo Mizigo HiiService vs business
Tamko halitekelezeki kwenye private schools
Aisee hii nchi ..!!?Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.
View attachment 2474173
Hivi hawa watu huwa wanafikilia kabla ya matamko haya? Kwa mfano mtoto anasoma boarding private school asilipe ada atakula nini hapo shuleni?? Kama Kuna Mzazi anaweza kuchukulia maanani hili tamko naye atakuwa hajitambui.Anthon Mtaka aliwahi kusema kitu Kwa wazazi.Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.
View attachment 2474173
kuna shule wanalazmisha ulipe nusu ya ada! mfano ada ni milion 4 mtu anataka ulipe mbili! ukute una watoto wa3 noma kweliKwa shule binafsi haiwezekani.Suluhisho ni afungue za kwake awasomeshe bure.
Peleka shule ya Serikalikuna shule wanalazmisha ulipe nusu ya ada! mfano ada ni milion 4 mtu anataka ulipe mbili! ukute una watoto wa3 noma kweli
Watanzania bhana tunapenda sana kulalamikakuna shule wanalazmisha ulipe nusu ya ada! mfano ada ni milion 4 mtu anataka ulipe mbili! ukute una watoto wa3 noma kweli