Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 30, 2022 #21 Atumie tu wataalam toka UK maana fedha zipo za kumwaga ni namna tu ya kuzitumia ndio inatakiwa tupate.
Atumie tu wataalam toka UK maana fedha zipo za kumwaga ni namna tu ya kuzitumia ndio inatakiwa tupate.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Jan 30, 2022 #22 mama D said: Tunapenda kukopa sababu tunajua madeni yatalipwa, na watakaowajibika kuyalipa ni hao watakaokuwepo Click to expand... Na hicho ndicho kitakachofanya mwewe kunyakua kofia na kilemba cha bi tozo mchana kweupe!!halafu mwewe anaelekea kumvika wa kusini Baada ya wa visiwani kupozi kwa muda!!
mama D said: Tunapenda kukopa sababu tunajua madeni yatalipwa, na watakaowajibika kuyalipa ni hao watakaokuwepo Click to expand... Na hicho ndicho kitakachofanya mwewe kunyakua kofia na kilemba cha bi tozo mchana kweupe!!halafu mwewe anaelekea kumvika wa kusini Baada ya wa visiwani kupozi kwa muda!!