"Chuo kinakusanya kama TFF"Kwa maelezo haya ina maana Mitihani ya wanafunzi sasa ni sehemu ya mradi wa chuo. Ukiwauliza viongozi hawa siyo ajabu wakasema gharama ni kubwa na bhla-bhla nyingiiii! Ukweli ni kwamba ni ukosefu wa mawazo yanayofaa, naogopa kusema ujinga.
Vyuo vya maana, siyo tu vinatoza ada, bali pia vinalipia ada baadhi ya wanafunzi. Yaani sisi tumeishia kuongozwa na watu wanaowaza makuisanyo kama TFF!
Mh. Rais Samia, tafadhari teua watu wenye uwezo wa kufikiri na siyo wenye vyeti na majina kama ya profesa kumbe ni kwa sababu walifundishwa na hawawezi kufikiri. Ndo maana wanatafuta urafiki wa kisiasa, eti CCM. wengine hata dini ili tu wawe karibu na rais. Shiiit!
Na mkuu ni profesa, eti?