Ndege zilikuwepo ila ziliuzwa hapo Kilimanjaro kwa wanaojiita ' mabilionea" kwa sh 500,000/= kila ndege!
Bashe kasema atanunua nyingine ila hazitakaa Moshi zitakaa Manyara au Dodoma!..hata za ATCL ziliuzwa, lakini leo tuna mi-dreamliner kibao, na mingine iko njiani.
..hii miradi mikubwa tunayoitekeleza kwa fedha za ndani, kweli hatuna fedha za kununua, au kukodisha, ndege ya kuua nzige?
Bashe kasema atanunua nyingine ila hazitakaa Moshi zitakaa Manyara au Dodoma!
Bashe kasema atanunua nyingine ila hazitakaa Moshi zitakaa Manyara au Dodoma!
Hakika mkuu..... Hapo Moshi wajanja wengi!..as long as ziko Tz.
Hakika mkuu..... Hapo Moshi wajanja wengi!
Hahahaaaa..... Bashe hana hamu na akina bwashee baada ya kusikia waliuziana ndege zote wakazitumia kwenye kampeni za UKAWA!Bashe hawaamini mabwashee wanaweza kuzichorea target nchi ikapata hasara
Hakika mkuu..... Hapo Moshi wajanja wengi!
Manyara na Dodoma kumejaa wazalendo!..unataka kusema Manyara na Dodoma hakuna wajanja?
..mimi naamini kila mahali kuna watu wajanja, na vilevile kuna watu sio wajanja.
Manyara na Dodoma kumejaa wazalendo!
Moshi wajanja ni wengi kuliko wazalendo!..kweli. wazalendo wako Tanzania nzima, siyo Manyara na Dodoma tu.
..Ni jambo jema, wazalendo kuwepo.Moshi wajanja ni wengi kuliko wazalendo!
Tulia weweeLeo ndio nimeamini hakuna Mwanachadema anayejua maswala yeyote ya maswala ya Anga baada ya kuwapa challenge wameingia mitini wote.
Nini weweHahahaaaa..... Bashe hana hamu na akina bwashee baada ya kusikia waliuziana ndege zote wakazitumia kwenye kampeni za UKAWA!
Ndege zipi,zile Bombadia?Wanatumia ndege uwe unaelewa bwashee!
Ile Stroke yako imepanda kichwani sio mpaka ukajibadilisha jina na kujiita Statesman?Leo ndio nimeamini hakuna Mwanachadema anayejua maswala yeyote ya maswala ya Anga baada ya kuwapa challenge wameingia mitini wote.
Zikae chato kwa usalama na pia ziwe kivutio cha utalii pale BurigiBashe kasema atanunua nyingine ila hazitakaa Moshi zitakaa Manyara au Dodoma!