Waziri Mkenda: Tunaendelea na zoezi la kumwaga sumu kuua nzige ambao sasa wameelekea Monduli pia Simanjiro!

Waziri Mkenda: Tunaendelea na zoezi la kumwaga sumu kuua nzige ambao sasa wameelekea Monduli pia Simanjiro!

Ndege zilikuwepo ila ziliuzwa hapo Kilimanjaro kwa wanaojiita ' mabilionea" kwa sh 500,000/= kila ndege!

..hata za ATCL ziliuzwa, lakini leo tuna mi-dreamliner kibao, na mingine iko njiani.

..hii miradi mikubwa tunayoitekeleza kwa fedha za ndani, kweli hatuna fedha za kununua, au kukodisha, ndege ya kuua nzige?
 
Bashe kasema atanunua nyingine ila hazitakaa Moshi zitakaa Manyara au Dodoma!
 
Tena Bashe ana akili maana ukiona yule meya anavohangaika kutafuta taa za barabarani majumbani kwa watu hapana ndege zisikae moshi unaweza kukuta tairi halipo ikawa usumbufu
 
Bashe hawaamini mabwashee wanaweza kuzichorea target nchi ikapata hasara
Hahahaaaa..... Bashe hana hamu na akina bwashee baada ya kusikia waliuziana ndege zote wakazitumia kwenye kampeni za UKAWA!
 
Back
Top Bottom