Ndege zilikuwepo ila ziliuzwa hapo Kilimanjaro kwa wanaojiita ' mabilionea" kwa sh 500,000/= kila ndege!
..hata za ATCL ziliuzwa, lakini leo tuna mi-dreamliner kibao, na mingine iko njiani.
..hii miradi mikubwa tunayoitekeleza kwa fedha za ndani, kweli hatuna fedha za kununua, au kukodisha, ndege ya kuua nzige?