Waziri Mkenda: Tunaendelea na zoezi la kumwaga sumu kuua nzige ambao sasa wameelekea Monduli pia Simanjiro!

Waziri Mkenda: Tunaendelea na zoezi la kumwaga sumu kuua nzige ambao sasa wameelekea Monduli pia Simanjiro!

Hata zikikaa nzega sawa shida zifanye kazi tu
Ni kweli. Hata akizitunzia uvunguni mwa kitanda, siyo tatizo, alimradi zinapohitajika ziwepo.

Wanapoleta za kuulia nzige, walete na zile za kuzimia bush fire, na chopa za uokozi wakati wa majanga.
 
Duuuu nimeshituka eti yule rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea,, kama aliweza kutelekeza ndege atashindwaje kuzidisha maji kwenye dawa au kuweka asali ili kwenye maji yawe matamu kwa Nzige
rubani kaz yake Ni kurusha ndege tu sio kuchanganya dawa.
 
Kama operation Big Buzz vile
Hapa ni kutafuta dawa ya kuwatokomeza kabisa Africa
 
Kwa hiyo huko juu rubani akienda kumwaga sehemu moja itakuwaje!!
Hawezi fanya iyo kitu,rubani anapuliza dawa akiona wadudu siyo kila sehem ni ya kupuliza ile ni sumu kali sana wewe mwenyewe ukifungiwa sehem yenye ile dawa ilofunguliwa harufu yake tu inakupoteza
 
Kwa nini tunalazimika kutumia ndege kuwaangamiza ndege badala ya kufunga & kuomba kwa siku 3 tu baghosha

Vita ya kiuchumi ni mbaya sana afadhali vita ya policcm vs CHADEMA;au nasema uongo ndugu zangu

Halafu kwa nini huyo rubani mkenya hakamatwi na kupandishwa Kisutu kwa yale mashtaka yetu pendwa(uhujumu uchumi & utakatishaji pesa)
 
Mnaharibu mazingira, hizo sumu zikiingia kwenye food chain inakuwaje?

Hizo sumu kama zinaathiri viumbe na wadudu wengine inakuwaje?

Tafuteni njia nyingine lakini siyo kumwaga sumu!
 
Leo ndio nimeamini hakuna Mwanachadema anayejua maswala yeyote ya maswala ya Anga baada ya kuwapa challenge wameingia mitini wote.
😂😂😂😂😂😂ila aisee we m.....nge huwa unanichekesha sana dah.Kwa hiyo jamaa wameingia mitini
 
😂😂😂😂😂😂ila aisee we m.....nge huwa unanichekesha sana dah.Kwa hiyo jamaa wameingia mitini
Hakuna hata mmoja anaweza kuendesha ndege ila ndio wanaoongoza kwa kulalamika hakuna pilot.

Angejitokeza hata mmoja kuwakilisha chama.
 
Mnaharibu mazingira, hizo sumu zikiingia kwenye food chain inakuwaje?

Hizo sumu kama zinaathiri viumbe na wadudu wengine inakuwaje?

Tafuteni njia nyingine lakini siyo kumwaga sumu!
Kiuatilifu kinachotumika ni photo and biodegradable; easily degrades into harmless metabolites ndani ya muda mfupi kwenye mazingira. Kwa hiyo uwezekano wa kuingia kwenye food chain haupo. Siyo aina ya organochlorides ambayo hukaa kwenye mazingira for days/months and years.
 
Back
Top Bottom