share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Tunawatakia safari njema. Wafike haraka.Ratiba za hao wageni wetu toka Kenya zinasema wakitoka Monduli na Simanjiro, wataelekea Makao Makuu ya Nchi Chato kwa ziara ya kikazi ya week moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawatakia safari njema. Wafike haraka.Ratiba za hao wageni wetu toka Kenya zinasema wakitoka Monduli na Simanjiro, wataelekea Makao Makuu ya Nchi Chato kwa ziara ya kikazi ya week moja.
Na wewe ka pumbavu fulani hivi huwa huelewi kusoma lugha ya picha! Sasa kama wanatumia ndege, vichaka na miba vina zuiaje zoezi la kumwaga viatilifu?Wanatumia ndege uwe unaelewa bwashee!
Kwa hiyo huko juu rubani akienda kumwaga sehemu moja itakuwaje!!Ile dawa haichanganywi na maji pia wanaojaza sumu kwenye tank na wataalam kutoka wizara ya kilimo
Kapumbavu mama manjagata!Na wewe ka pumbavu fulani hivi huwa huelewi kusoma lugha ya picha! Sasa kama wanatumia ndege, vichaka na miba vina zuiaje zoezi la kumwaga viatilifu?
Somalia!nipeni elimu,hao nzige huwa wanatokea wapi?
Ni kweli. Hata akizitunzia uvunguni mwa kitanda, siyo tatizo, alimradi zinapohitajika ziwepo.Hata zikikaa nzega sawa shida zifanye kazi tu
rubani kaz yake Ni kurusha ndege tu sio kuchanganya dawa.Duuuu nimeshituka eti yule rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea,, kama aliweza kutelekeza ndege atashindwaje kuzidisha maji kwenye dawa au kuweka asali ili kwenye maji yawe matamu kwa Nzige
Sawa kabisa.rubani kaz yake Ni kurusha ndege tu sio kuchanganya dawa.
Hawezi fanya iyo kitu,rubani anapuliza dawa akiona wadudu siyo kila sehem ni ya kupuliza ile ni sumu kali sana wewe mwenyewe ukifungiwa sehem yenye ile dawa ilofunguliwa harufu yake tu inakupotezaKwa hiyo huko juu rubani akienda kumwaga sehemu moja itakuwaje!!
Hapo sasa unataka dreamliner liwashwe likanyunyize dawa.Ratiba za hao wageni wetu toka Kenya zinasema wakitoka Monduli na Simanjiro, wataelekea Makao Makuu ya Nchi Chato kwa ziara ya kikazi ya week moja.
Bavicha hamna jema!Mnaharibu mazingira, hizo sumu zikiingia kwenye food chain inakuwaje?
Hizo sumu kama zinaathiri viumbe na wadudu wengine inakuwaje?
Tafuteni njia nyingine lakini siyo kumwaga sumu!
😂😂😂😂😂😂ila aisee we m.....nge huwa unanichekesha sana dah.Kwa hiyo jamaa wameingia mitiniLeo ndio nimeamini hakuna Mwanachadema anayejua maswala yeyote ya maswala ya Anga baada ya kuwapa challenge wameingia mitini wote.
Hakuna hata mmoja anaweza kuendesha ndege ila ndio wanaoongoza kwa kulalamika hakuna pilot.😂😂😂😂😂😂ila aisee we m.....nge huwa unanichekesha sana dah.Kwa hiyo jamaa wameingia mitini
Kiuatilifu kinachotumika ni photo and biodegradable; easily degrades into harmless metabolites ndani ya muda mfupi kwenye mazingira. Kwa hiyo uwezekano wa kuingia kwenye food chain haupo. Siyo aina ya organochlorides ambayo hukaa kwenye mazingira for days/months and years.Mnaharibu mazingira, hizo sumu zikiingia kwenye food chain inakuwaje?
Hizo sumu kama zinaathiri viumbe na wadudu wengine inakuwaje?
Tafuteni njia nyingine lakini siyo kumwaga sumu!