figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba waziri wetu msikivu Prof. Mkenda, kwake ni jambo dogo.
Huyu mwalimu mwaka 2013 alibaka akalindwa.
Kwa sasa analawiti watoto wa shule na kesi ipo polisi lakini wakubwa zake wanamlinda na kesi haiendi mahakamani. Badala yake wamemuhamisha na kumshusha cheo hapa Mbeya DC.
Mimi huwa siongelei haya mambo JamiiForums ila imenilazimu. Watoto wetu tuwafiche wapi. Muondoeni serikalini, anatia aibu. Mlawiti huyu kila mtu serikalini anamjua.
Asante Mkenda.
=====
UPDATES:
*Mtuhumiwa anaitwa Mwalimu Tom.
*Kabla ya kushushwa cheo na kuhamishwa ili kumlinda alikuwa Mwalimu Mkuu Mkombozi shule ya Msingi.
*Aliwekewa mtego na Wazazi baada ya kukamatwa, akachukuliwa na Polisi wa Kituo Kikuu cha Polii Kanda Maalum Mbalizi, 29/08/2022, ambao baadaye Walimuachia kwa dhamana.
*Watoa taarifa sasa Wanatishwa, hata watoto alokamatwa nao Polisi haijawapeleka Hospitali kuwapima ili kupoteza Ushahidi
*Polisi walipewa rekoded yake ya Vido akifanya Uchafu huo.
*Sasa kahamishwa, hatujajua kapelekwa wapi.
TUMEKUSANYA TAARIFA ZA KUTOSHA HADI VIDEO ZAKE. ILA POLISI WANAMUONEA MUHALI