Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Weka jina ataacha akiona jina lipo mtandaoni, asipoacha huyo atakuwa ni shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi mnamuogopa? AngeshakufaSalaam Wakuu,
Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba waziri wetu msikivu Prof. Mkenda, kwake ni jambo dogo.
Huyu mwalimu mwaka 2013 alibaka akalindwa.
Kwa sasa analawiti watoto wa shule na kesi ipo polisi lakini wakubwa zake wanamlinda na kesi haiendi mahakamani. Badala yake wamemuhamisha na kumshusha cheo hapa Mbeya DC.
Mimi huwa siongelei haya mambo JamiiForums ila imenilazimu. Watoto wetu tuwafiche wapi. Muondoeni serikalini, anatia aibu. Mlawiti huyu kila mtu serikalini anamjua.
Asante Mkenda.
=====
UPDATES:
*Mtuhumiwa anaitwa Mwalimu Tom.
*Kabla ya kushushwa cheo na kuhamishwa ili kumlinda alikuwa Mwalimu Mkuu Mkombozi shule ya Msingi.
*Aliwekewa mtego na Wazazi baada ya kukamatwa, akachukuliwa na Polisi wa Kituo Kikuu cha Polii Kanda Maalum Mbalizi, 29/08/2022, ambao baadaye Walimuachia kwa dhamana.
*Watoa taarifa sasa Wanatishwa, hata watoto alokamatwa nao Polisi haijawapeleka Hospitali kuwapima ili kupoteza Ushahidi
*Polisi walipewa rekoded yake ya Vido akifanya Uchafu huo.
*Sasa kahamishwa, hatujajua kapelekwa wapi.
View attachment 2348182
Mmeshindwa kumkamata na kumvunja kiuno?Salaam Wakuu,

SijakuelewaNaona unaificha jinai kwa mtu ambaye hana soni...
Wewe Figanigga kama una watoto maeneo hayo jua kabisa watalawitiwa na huyo bazazi unayemfichia siri kwa kutotaja jina lake.Sijakuelewa
Hii ya chini mbona ni picha sio vidio?Salaam Wakuu,
Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba waziri wetu msikivu Prof. Mkenda, kwake ni jambo dogo.
Huyu mwalimu mwaka 2013 alibaka akalindwa.
Kwa sasa analawiti watoto wa shule na kesi ipo polisi lakini wakubwa zake wanamlinda na kesi haiendi mahakamani. Badala yake wamemuhamisha na kumshusha cheo hapa Mbeya DC.
Mimi huwa siongelei haya mambo JamiiForums ila imenilazimu. Watoto wetu tuwafiche wapi. Muondoeni serikalini, anatia aibu. Mlawiti huyu kila mtu serikalini anamjua.
Asante Mkenda.
=====
UPDATES:
*Mtuhumiwa anaitwa Mwalimu Tom.
*Kabla ya kushushwa cheo na kuhamishwa ili kumlinda alikuwa Mwalimu Mkuu Mkombozi shule ya Msingi.
*Aliwekewa mtego na Wazazi baada ya kukamatwa, akachukuliwa na Polisi wa Kituo Kikuu cha Polii Kanda Maalum Mbalizi, 29/08/2022, ambao baadaye Walimuachia kwa dhamana.
*Watoa taarifa sasa Wanatishwa, hata watoto alokamatwa nao Polisi haijawapeleka Hospitali kuwapima ili kupoteza Ushahidi
*Polisi walipewa rekoded yake ya Vido akifanya Uchafu huo.
*Sasa kahamishwa, hatujajua kapelekwa wapi.
TUMEKUSANYA TAARIFA ZA KUTOSHA HADI VIDEO ZAKE. ILA POLISI WANAMUONEA MUHALI
View attachment 2348182
View attachment 2348474
Naye anamlinda.Hata wewe una matatizo. Kama huwezi kumtaja basi usingepost hapa. Au mnataka aendelee tu kuwalawiti watoto wenu? Figganiga umefeli.
Hujasikiliza hiyo voice note mkuu? Ndiyo nimesikia hapo. Unapenda connection wewe😂Duuh ka video kapo nini mkuu share basi hyo connection piemu
Mnatia mashaka sana watu wa mbeya, hata kama kumpiga kuchukua sheria mmshindwa wazer hakuna huko wakamaliza kesi mapema??Salaam Wakuu,