Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba waziri wetu msikivu Prof. Mkenda, kwake ni jambo dogo.
Huyu mwalimu mwaka 2013 alibaka akalindwa.
Kwa sasa analawiti watoto wa shule na kesi ipo polisi lakini wakubwa zake wanamlinda na kesi haiendi mahakamani. Badala yake wamemuhamisha na kumshusha cheo hapa Mbeya DC.
Mimi huwa siongelei haya mambo JamiiForums ila imenilazimu. Watoto wetu tuwafiche wapi. Muondoeni serikalini, anatia aibu. Mlawiti huyu kila mtu serikalini anamjua.
Asante Mkenda.
=====
UPDATES:
*Mtuhumiwa anaitwa Mwalimu Tom.
*Kabla ya kushushwa cheo na kuhamishwa ili kumlinda alikuwa Mwalimu Mkuu Mkombozi shule ya Msingi.
*Aliwekewa mtego na Wazazi baada ya kukamatwa, akachukuliwa na Polisi wa Kituo Kikuu cha Polii Kanda Maalum Mbalizi, 29/08/2022, ambao baadaye Walimuachia kwa dhamana.
*Watoa taarifa sasa Wanatishwa, hata watoto alokamatwa nao Polisi haijawapeleka Hospitali kuwapima ili kupoteza Ushahidi
*Polisi walipewa rekoded yake ya Vido akifanya Uchafu huo.
*Sasa kahamishwa, hatujajua kapelekwa wapi.
TUMEKUSANYA TAARIFA ZA KUTOSHA HADI VIDEO ZAKE. ILA POLISI WANAMUONEA MUHALI
Uzuri wa Mkenda hana huu upuuzi wa kulindana yeye kazikazi. Nimesikitika sana. Polisi ndo walitakiwa Wafanye hii kazi, ila wanakunywa bia na mtuhumiwa. Wanafunzi wetu tuwalindeje?
Nachelea kutaja jina wasidai tunachafuana..
Inawezekana Waziri au katibu Mkuu hajui, Mbeya ndogo, kila mtu anajua kuanzia Mkuu wa Wilaya. Mwalimu mwenyewe bazazi, akitajwa nawe utamjua. Anadai eti kitu kimesimama.
Mbeya kuna Mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu Serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila Sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba Waziri wetu Msikivu Prof. Mkenda, kwake ni jambo dogo.
Huyu Mwalimu Mwaka 2013 alibaka akalindwa.
Kwa sasa analawiti watoto wa shule na kesi ipo Polisi lakini wakubwa zake wanamlinda na kesi haiendi Mahakamani. Badala yake wamemuhamisha na kumshusha cheo hapa Mbeya DC.
Mimi huwa siongelei haya mambo JamiiForums ila imenilazimu. Watoto wetu tuwafiche wapi. Muondoeni Serikalini, anatia aibu. Mlawiti huyu kila mtu Serikalini anamjua. Asante Mkenda. View attachment 2348182
Uzuri wa Mkenda hana huu upuuzi wa kulindana yeye kazikazi. Ninesikitika sana. Polisi ndo walitakiwa Wafanye hii kazi, ila wanakunywa bia na mtuhumiwa. Wanafunzi wetu tuwalindeje?
Nachelea kutaja jina wasidai tunachafuana..
Inawezekana Waziri au katibu Mkuu hajui, Mbey ndogo, kila mtu anajua kuanzia Mkuu wa Wikaya. Mwalimu mwenyewe bazazi, akitajwa nawe utamjua. Anadai eti kitu kimesimama.
Mkuu mtu anayelawiti watoto ni mchafu wa laana tayari unaongelea kumchafua mara ngapi?
Mtaje hapa huyo mlawiti kuna wakubwa humu watamuona na faster atachukuliwa hatua.
Au chukueni hatua wenyewe kama mamlaka yameshindwa kutekeleza wajibu wao.
Huu ni uchafu, laana na dhambi mbaya sana ikiwemo kuharibu maisha ya hao watoto.

Najua Mkuu, ila nataka RPC ndo amtaje. Sababu taarifa anayo na ndo mwalimu pekee ana kezi ya Ulawiti kwa wanafunzi. Anajulikana. Kama hatua isipochukuliwa nitamtaja. Tuwapime kwa mara ya mwisho watendaji wa Raisi Samia
Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba waziri wetu msikivu Prof. Mkenda, kwake ni jambo dogo.
Huyu mwalimu mwaka 2013 alibaka akalindwa.
Kwa sasa analawiti watoto wa shule na kesi ipo polisi lakini wakubwa zake wanamlinda na kesi haiendi mahakamani. Badala yake wamemuhamisha na kumshusha cheo hapa Mbeya DC.
Mimi huwa siongelei haya mambo JamiiForums ila imenilazimu. Watoto wetu tuwafiche wapi. Muondoeni serikalini, anatia aibu. Mlawiti huyu kila mtu serikalini anamjua.
Lakini yule kijana anauliza "utafanya wewe au nitafanya mimi?" Yule Mwalimu anajibu,"utafanya wewe."
Kwa hiyo it is not clear hapo nani passive na nani active.