DOKEZO Waziri Mkenda, tuondolee huyu Mwalimu mlawiti hapa Mbeya, sasa inatosha!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
*Aliwekewa mtego na Wazazi baada ya kukamatwa, akachukuliwa na Polisi wa Kituo Kikuu cha Polii Kanda Maalum Mbalizi, 29/08/2022, ambao baadaye Walimuachia kwa dhamana.

NI WAKATI SAHIHI SASA, WAZAZI WACHUKUE SHERIA MIKONONI.
 
Hivi Mbeya hamna mobb justice? Kama mfumo rasmi wa haki hatufanyi kazi sheria mkononi Ina husika.
 
sijaelewa, yaani watu wengine wasumbue, halafu na mwalimu tu naye asumbue? kweli serikali hii?
 
HV kma una ushaid inasubiria mahakama mbna unampotezea muda mtu anaenda kuwapumulia watot zetu vizogoni kweli unashindwa kumdhru hata usiku urushe manati au jiwe limpige utaona Kama ataendeleea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Au angesema kuwa yule mwalimu aliyemlawiti mwanafunzi Leo amaezikwa au amebakwa na kuingiziwa vitu vizito makalioni na kuvuja damu nyingi San hvyo yupo ktk ospitali fln . Ndio habari sas

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Asee mbona hatari😬
 
Sitetei uovu lakini Sheria hiyo ya TSc haipo hivyo,Hadi uthibitisho wa kimaandishi uwepo(kama ni jinai kuwe n'a hukumu ya mahakama) ni ngumu kumfukuza mtu bila uthibitisho
Wanachofanya ni kumsimisha kazi then uchunguzi unafanyika baada yauthibitisho ndio anachukuliwa hatua
Na ikitokea wakashindwa kuthibitisha anawageuzia kibao anawashtaki na kuwadai fidia,ndio maana hizo kesi za watumishi zina sintofahamu sababu ya
mlolongo mrefu
 
Huyu mpuuzi ni kumtafutia fitina tu kwa kumwita mwizi maeneo asiyofahamika qmmk
 
Mpaka Sasa mtoa mada hajataja jina la muhusiika Wala shule anayofundisha!

Kwa hiyo basi habari hii yaweza kuwa ya kupikwa 98%.
Watu wa Mbeya nnaowafahamu Mimi tena Mbalizi,mwalimu asingekuwepo.
 
Hii ndio bongo bwana, na huko arusha hali ikoje kwa sasa?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…