mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Acheni utani, yaani hiyo floor moja ya nne na paa moja la jengo la kuhifadhia vifaa ndio vina account ongezeko la karibu mara tatu???!!!!! Huyo QS aliesahau kuingiza hizo item kwenye BOQ kachukuliwa hatua gani for such negliegence
Ukute ni Eng ww unasema QS. Hakun mtathimini majenzi mjinga kama huyo. Kilichotokea walifanya Lumpsum kwasabab ya muda
Ukute ni Eng ww unasema QS. Hakun mtathimini majenzi mjinga kama huyo. Kilichotokea walifanya Lumpsum kwasabab ya mudaAcheni utani, yaani hiyo floor moja ya nne na paa moja la jengo la kuhifadhia vifaa ndio vina account ongezeko la karibu mara tatu???!!!!! Huyo QS aliesahau kuingiza hizo item kwenye BOQ kachukuliwa hatua gani for such negliegence?
Mkuu hii TBA kupewa mradi bila tenda ndio force accountKwa TBA hili si la kushangaza...
Kuna sehemu nondo za ghorofa moja za beam & 1st floor yoote zilisahaulika kwenye BOQ...
Mjengo ulikuwa wa Serikali...
Lilichua muda sana kukalimika na gharama zaidi...
Hi FALSE AKAUNTI ingeanza kipindi hicho tungejenga miundu mbinu mingi sana kwa gharama nafuu...
Yani utumie mkandarasi alafu utumie force account?.”
Waziri Mkuu ameagiza mkandarasi atakayepatikana ahakikishe mradi wa ujenzi huo unakamilika katika kipindi cha miezi sita kuanzia sasa na lijengwe kwa kutumia mfumo wa force account.
Katika miradi ya ujenzi Kuna kitu wataalam wanaita variation. Lakini sijawahi ona variation ambayo inashusha BoQ kuwa ndogo. Siku zote huwa naona variation ambayo inafanya BoQ kuwa kubwa.
Ooh kunbe force account si kwa wakandarasi?????Yani utumie mkandarasi alafu utumie force account?
Hawa TBA hutoa makisio madogo yasiyo na uhalisia ili kuitoa kabisa sekta binafsi kwenye hili eneo; ushindani halali ni muhimu kila eneo.Acheni utani, yaani hiyo floor moja ya nne na paa moja la jengo la kuhifadhia vifaa ndio vina account ongezeko la karibu mara tatu???!!!!! Huyo QS aliesahau kuingiza hizo item kwenye BOQ kachukuliwa hatua gani for such negliegence?
badala ya kumuimbiaa nyimbo za sifa na kuabudu, hili swali muulizeni JIWENi vigumu sana kwa mradi kukamilishwa na watendaji wa serikali, ni kwa nini ?
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo.
“TBA tunaihitaji lakini watu wake wana shida. Hatuwezi kuwaacha, TBA wasipewe miradi kwa sababu hawawajibiki na wanadhani kwa kuwa ni taasisi ya Serikali ndio wataachwa wafanye mambo ya hovyo.”
Waziri Mkuu amewasimamisha kazi wakurugenzi hao leo (Jumatatu, Novemba 18, 2019) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Wakurugenzi waliosimamishwa kazi ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi, Arch.Humphrey Killo, Kaimu Meneja wa Miradi, Abdallah Awadh na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ushauri Arch. Hamis Kileo.
Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo baada ya kutoridhishwa na utendaji kazi wa TBA katika miradi mbalimbali waliyopewa na Serikali ukiwemo ujenzi wa jengo la NEC ambalo ujenzi wake ulianza Julai, 2017 na ulitakiwa ukamilike Juni 2018 kwa gharama ya sh. bilioni 13. Hata hivyo mradi huo bado haujakamilika na ujenzi wake umesimama.
Akiwa katika eneo la mradi wa ujenzi wa ofisi ya NEC Waziri Mkuu alihoji sababu za mradi huo kutokamilika kwa wakati ambapo Kaimu Mkurugenzi wa Ujenzi alisema jengo hilo limeshindwa kukamilika kwa sababu wakati walipokuwa wanaanza kazi walibaini kuwa kuna vitu vilisahaulika wakati wa uandaaji wa Bill of Quantities(BOQ). TBA ndio waandaaji wa ramani ya jengo hilo na ndio wajenzi.
“Bajeti ya awali ilikuwa sh. bilioni 10 wakati wa uandaaji wa michoro ya ujenzi gharama ziliongezeka na kufikia sh. bilioni 13 ambazo ndizo tulikubaliana katika mkataba. Wakati tunaendelea na kazi tuligundua kuna vitu vimesahaulika kwenye BOQ jambo lililoongeza bajeti ya ujenzi na kufikia sh. bilioni 32.” Amesema Arch. Killo.
Waziri Mkuu akahoji tena “kutoka sh. bilioni 13 hadi kufikia sh. bilioni 32 je unaona inakuja vizuri hiyo” sh. bilioni 10 hadi sh. bilioni 13 tena hadi sh. bilioni 32 inazungumzikaje hii na je mwenye jengo mlikubaliana naye? Awali mwenye mahitaji alisema ana sh. bilioni 10 sasa imefikaje 32 je mlimshauri muhusika kuhusu ongezeko hili?
Kaimu Mkurugenzi wa Ujenzi Arch. Killo alipotakiwa kueleza sababu za kuongezeka kwa gharama za ujenzi huo amesema waligundua tofauti wakati wakiwa kwenye eneo la ujenzi kwamba kuna kazi zilitakiwa zifanyike lakini katika mkataba hazipo na hawakuwasiliana na muhusika.
Miongoni mwa vitu vilivyosahaulika katika BOQ ya mradi huo ni pamoja na kutokuwepo kwa ghorofa ya nne katika jengo moja wanalolijenga katika mradi huo ambalo ni la ghorofa nane, pia hapakuwa na paa la jengo la kuhifadhia vifaa mbalimbali vya NEC.
Waziri Mkuu amesema miradi mingi inayojengwa na TBA katika maeneo mbalimbali imeshindwa kukamilika kwa wakati, hivyo amemwagiza Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama asitishe mkataba huo wa ujenzi na atafutwe mkandarasi mwingine aje amalizie.
“Jengo la TAMISEMI lililopo katika mji wa Serikali limejengwa kwa gharama ya sh. bilioni 1.7, nyie wataalamu gani na kwa nini tuendelee kuwaacha ndani ya taasisi? TBA hamfanyi kazi vizuri wakuu wa mikoa na wilaya wanalalamika majengo hayakamiliki ni Serikali gani itakayowavumilia, mmeshindwa kutambua majukumu yenu.”
Waziri Mkuu ameagiza mkandarasi atakayepatikana ahakikishe mradi wa ujenzi huo unakamilika katika kipindi cha miezi sita kuanzia sasa na lijengwe kwa kutumia mfumo wa force account.
Pepo anatoa Pepo mwenzake.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo.

limekosekana kwenye quotation , yaani msanifu alipigia mahesabu ila akairuka hiyo ghorofa, nafikiri alikuwa amelewaKuna mtu ameelewa kilichoandikwa hapo kwenye bold anieleweshe na mimi ngumbaru? Inawezekanaje jengo la ghorofa nane (8) likakosa ghorofa ya nne (4)?
Kwa faida ya wengi, Nini maana ya Force Account???Kwa TBA hili si la kushangaza...
Kuna sehemu nondo za ghorofa moja za beam & 1st floor yoote zilisahaulika kwenye BOQ...
Mjengo ulikuwa wa Serikali...
Lilichua muda sana kukalimika na gharama zaidi...
Hi FALSE AKAUNTI ingeanza kipindi hicho tungejenga miundu mbinu mingi sana kwa gharama nafuu...
Mbona mnapenda kujidai mnajua wakati hamjui? Toka lini TBA akawa mkandarasi? Unaelewa maana ya mkandarasi?TBA ni Class I contractor, meaning wana uwezo wa kila kitu ktk ujenzi wa majengo yote, yaani manpower, technology + financial capabilities. Sasa sijui kwanini TBA ni wazembe sanaaa sanaa, miradi kibao inashindwa kumalizika na gharama zao ziko juu sana sana, Mh. Rais pia alihoji pale Vingunguki ktk ujenzi wa machinjio ya kisasa yaani ghorofa 2 na basement 1 eti gharama ni Bil 14. Na wajenzi ni hao hao TBA, kuna uwizi pale sana inaonekana.. TBA gharama zao sijui wanatoa wapi, hatari sana, i wish i could be PM, hiiii hiiii TBA ningepitisha uchunguzi mkaliiii sana sbb hizi gharama na uzembe ningefukuza woteee alafu naajiri wapya haraka sana.. Hiii hiiii[emoji44][emoji44]
TBA nafanya kila kitu, wacha ujinga wewe, usiwe kama mwakyembe digrii nne anazidiwa na ROMA darasa la 7 B kupambanua mamboMbona mnapenda kujidai mnajua wakati hamjui? Toka lini TBA akawa mkandarasi? Unaelewa maana ya mkandarasi?
Huyo jamaa ni kichwa maji achana nae.Mkuu Class A contractor ikoje hii kwenye mfumo wa CRB? Maana wao wana Class I, II, III -VII.
Hiyo Class A vipi wameanzisha utaratibu mpya wa kusajiri kampuni?
Force account ni kwa local fundi sio wakandarasi. Wanasiasa waache kuleta siasa kwenye taaluma za watu.Ooh kunbe force account si kwa wakandarasi?????
Sikuja
Roma sio class 7, ni degree holder. Ficha ujinga wako.TBA nafanya kila kitu, wacha ujinga wewe, usiwe kama mwakyembe digrii nne anazidiwa na ROMA darasa la 7 B kupambanua mambo
ROMA [LASABA B] katunukiwa BSC COMP SCIENCERoma sio class 7, ni degree holder. Ficha ujinga wako.
Kwa wenye kumbukumbu, hivi TBA si ndio walijenga hostel za UDSM kwa bllion 10!?Wanatoa gharama ndogo kumfurahisha fulani kama kawaida halafu wanadai wamesahau kuorodhesha baadhi? Hapo hakuna kutumbua kwani wahusika ni wapendwa.