Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ulishawahi kumsikia diblo dibala [majaliwa] akitoa agizo lolote kwa Zanzibar?Za Tanzania
Mtenguaji vipi. Umeelewa swali lakini?Za Tanzania
Bado Aisee kwa mimiUlishawahi kumsikia diblo dibala [majaliwa] akitoa agizo lolote kwa Zanzibar?
Hata kumi hawafiki.hivi hao watanganyika wanaweza kuzidi mia1 kweli kwa idadi ya waliopo mpaka sasa gentleman?🐒
Lini umemuona hata akifanya ziara huko zenji?Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa.
Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania?
Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa Zanzibar?
Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Waziri Mkuu wa Tanzania. Na inawezekana Waziri Mkuu akawa ni Mzanzibari?
Mamlaka ya Waziri Mkuu Kwa Zanzibar yakoje. Jee Waziri Mkuu anaweza kutoa maelekezo kwa wakuu wa mikoa na Wilaya wa Zanzibar na wakalazimika kuyatekeleza?
Waziri Mkuu kuitwa wa Serikali ya Muungano Tanzania, jee mamlaka yake yanaakisi utanzania ama utanganyika?
Huwa anatoa maagizo mengi tu Kwa Wizara za MuunganoUlishawahi kumsikia diblo dibala [majaliwa] akitoa agizo lolote kwa Zanzibar?
Swali lako ni Sawa na kuuliza CDF ni wa Tanganyika au Tanzania 😀Mtenguaji vipi. Umeelewa swali lakini?
sasa mnajijosha na kujitesa kwanini na hakuna mahali mnaenda?🤣Hata kumi hawafiki.
Ndugu mtenguaji umeelewa swali?Huwa anatoa maagizo mengi tu Kwa Wizara za Muungano
Yesu alikuwa na mitume 12 leo hii ukristo umeenea Dunia nzima na zaidi ya watu bilioni 2 ni wakristo ulimwenguni pote.sasa mnajijosha na kujitesa kwanini na hakuna mahali mnaenda?🤣
Ni pasua kichwa Sana.Tuna Waziri mkuu wa Tanzania kwa jina tu ila anafanya majukumu ya Tanganyika.
Kiufupi huu muundo wa muungano ni pasua kichwa.