Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

Under chapter two part (iii) Article 51 to 58 of the constitution of the united republic of Tanzania elaborates on the establishment of prime minister's office, Article 52 discusses the function and duties of the prime minister emphasis the roles on leading government business in Parliament

But also I chapter Five Article:102and 123 of the constitution of the united republic of Tanzania Wich reference the reveal of the revolutionary government of Zanzibar
 
Yesu alikuwa na mitume 12 leo hii ukristo umeenea Dunia nzima na zaidi ya watu bilioni 2 ni wakristo ulimwenguni pote.

Mtume Muhammad (SWA) alikuwa na masahaba wasiozidi kumi na leo hii uislamu una wafuasi zaidi ya bilioni 2.

Hao watanganyika wachache Wana hoja zinazokubaliwa na wasio watanganyika. Usiwadharau.
ghafla umekua apostle 🤣

siwadharau hata kidogo, kwasabb hawapo, na ikiwa wapo basi ni wachache sana na ni wadhaifu mno.

ningependelea walau wajengewe angalau jengo dogo la pamoja waishi humu pamoja kutokana na uchache wao, wakisimulia watu mbalimbali juu ya ilivykua hiyo Tanganyika na kwanini hawakufanya chochote wakati huo, na wakati huu wameshachoka tayari ndio wanakuja na kimbelembele cha kudai kitu ambacho hakipo, kimebaki ni historia tu 🐒
 
Back
Top Bottom