Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Tatizo mtoa mada ni mtu wa mazingaumbee.
[emoji51] [emoji51] [emoji51] huyu bwana Mshana anazushiwa mengi Kwa kweli. KILA MTU Ana mdefine afikiriacho.. Hahaha wengine agent WA ibilisi wengine mtabiri... NAJIFUNZA KITU KWAMBA KAMWE HUWEZI KUMKATAZA MTU KUFIKIRI
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji81] [emoji81]
 
Source plz.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Jesus Christ on the cross!
 
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi ...

Hii breaking news imeniacha na maswali mengi

mshana jr una heshima kubwa humu JF kuweka bandiko kama hilo na kulizungumzia kwa ushabiki wa kisiasa.

Kuna ajabu gani kwa Waziri Mkuu kwenda ofisini kwa miguu! Unadakia ya waandishi wa habari, ambao taaluma huiweka pembeni na kuandika yawajao kichwani!

Huwa unaweka bandiko zenye kufanyiwa tafiti, lakini hili la leo umebugi. Yawezekana yale unayosifiwa ni "copy & paste" kutoka mitandaoni!

Wanaokoa milioni 10 ili wakahonge wabunge bunge linalokuja?

Hii style ya kubana matumizi ni kichekesho sana mwaka Huu......

Nawe technically unaeleweka kwa kuleta yanayojiri kwenye vijiwe humu jamvini. Utacheka sana kwa kujichekesha, kwa kuwa hujui ni kwa nini Waziri Mkuu ameamua kwenda ofisini kwa miguu.

wenda hata mafuta yameanza kukata serikalini.

swissme

swissme hutobadilika kwa kupenda kudakia hoja na usijenge hoja yako mwenyewe yenye uzito stahili. Ati 'hata mafura yameanza kukata serikalini'!
 
mshana jr una heshima kubwa humu JF kuweka bandiko kama hilo na kulizungumzia kwa ushabiki wa kisiasa.

Kuna ajabu gani kwa Waziri Mkuu kwenda ofisini kwa miguu! Unadakia ya waandishi wa habari, ambao taaluma huiweka pembeni na kuandika yawajao kichwani!

Huwa unaweka bandiko zenye kufanyiwa tafiti, lakini hili la leo umebugi. Yawezekana yale unayosifiwa ni "copy & paste" kutoka mitandaoni!

Nawe technically unaeleweka kwa kuleta yanayojiri kwenye vijiwe humu jamvini. Utacheka sana kwa kujichekesha, kwa kuwa hujui ni kwa nini Waziri Mkuu ameamua kwenda ofisini kwa miguu.

swissme hutobadilika kwa kupenda kudakia hoja na usijenge hoja yako mwenyewe yenye uzito stahili. Ati 'hata mafura yameanza kukata serikalini'!
mwengeso naiheshimu mno reply yako lakini tafadhali sana nakuomba urudie nilichoandika soma taratibu kwa tuo, anglia jinsi nilivyoanza na nilivyohitimisha sina tatizo hata chembe na waziri mkuu bali mwandishi na hao wananchi aliowahoji
 
Hizi media zingine zinakosa hata chakuwapelekea walaji wa habari, yaani hizo m 200 ndy zakuongelewa kutwa nzima ?? Wanafunzi huko vijijini wanatembea km nyingi hata hazina hesabu ila hawazungumziwi
Waziri ni binadam kama ww na mm nae nchi INA Amani tele hata kutembea na msafara ni kuongeza kero tu barabarani
Mamilion gani hapo aliyookoa kwa m 200?? Acheni story fanyeni kazi ya kutafuta habari sio porojo
 
Aliyeileta kama Breaking News ndo matatizo. Huwezi leta habari za mtu aliyetembea mita 200. Je tuseme, angeliamua kutembea 1 Km si vizuri kwa afya yake kuliko kupiga push ups?? Watu wanapatwa na kisukari kwa sababu ya mwili legeza
 
Back
Top Bottom