Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Umesahau Jecha alivyo okoa mamilioni uchaguzi uliopita?Ameokoa kiasi gani? acha mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau Jecha alivyo okoa mamilioni uchaguzi uliopita?Ameokoa kiasi gani? acha mbwembwe
Kama wewe umeshindwa kuipotezea kwanini unamtaka mwandishi aipotezee,inawezekana nae imemshangaza kama ilivyokushangaza wewe......."baadhi ya watanzania wanachokitaka hawakijui"Ni kweli imagine sasa haya ndio maoni na mwandishi kaona aripoti...sijasema ni taarifa ya serikali tafadhali
Mshana upo sahihiMimi ama mwandishi wa WAPO FM?
Hakuna mwandishi aliyeitwa mkuu, mtoa mada anasema mwandishi uchwara huyo kaamua kuandika huo utumbo wake wa mita 200 habari haijatolewa na ofisi ya waziri mkuu kitengo cha habar, na ndio maana sheria itawalazimu wawe na degree vinginevyo habari kama hizi zitaendelea kuandikwa kila sikuMaigizo at work, kutembea mita mia mbili unaita waandishi wa habari wakutangaze ulivyookoa mamilioni ya pesa? Angetuambia hizo milioni alizookoa ni kiasi gani ndo tungejua alivyobana matumizi.
Watakuambia wewe sio public figure aka mtu alimaarufu hapa nchini? Ndio maana pia husema mtu akila ng'ombe sio habari ila ikatokea ng'ombe kala mtu ndio habari.Mbona mi napuyanga kutwa nzima Mbona hawasemi wala kuniandika?
wenda hata mafuta yameanza kukata serikalini.
swissme
Umeiona wapi hiyo mkuu. Naona umeianzisha wewe na kujikisoa wewe.Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha waziri mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 Katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi
Tatizo hapa ni hili swali sawa unatembea mita 800 lakini wewe ni Waziri Mkuu?Kila siku natembea m800...
Ukimuunga mkono mjinga na wewe unakuwa ni mjinga. Hii inakuwa ni sawa na unaoga kichaa anachukua nguo zako na kukimbia nazo yeye akiwa amevaa nguo wewe unamfukuza ukiwa uchi. Lazima wewe utaonekana ni kichaa.Wameokoa mil ngapi kwa huo umbali?..mambo ya kijinga nchi hii yanapewa nafasi sana!!..wao waseme ukweli tu kwamba farasi wamempanda kinyume..hali ni mbaya...