Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Ni kweli imagine sasa haya ndio maoni na mwandishi kaona aripoti...sijasema ni taarifa ya serikali tafadhali
Kama wewe umeshindwa kuipotezea kwanini unamtaka mwandishi aipotezee,inawezekana nae imemshangaza kama ilivyokushangaza wewe......."baadhi ya watanzania wanachokitaka hawakijui"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mita 200 land cruiser inakula lita za mafuta milioni ngapi
 
Mimi ama mwandishi wa WAPO FM?
Mshana upo sahihi
huo umbali wala si neno, ni sawa na mita 200
lakini ni ile Ikulu yake ya zamani (si hii Mpya ya makazi) ambapo hao waandishi hawakusema ukweli
ni mtaa mmoja huohuo na hakuna magari kabisa
ukitoka kwake unaipita Hotel moja, na ofisi ya mkuu wa wilaya mwishowe ofisi yake kwa mlango wa nyuma
 
mm leo nimetembea kilometa kama 3 lakin sitangazwii...waandishi dunia hii sijui vipi yan
 
Kila gari hata kama injini kubwa namna gani,Lita moja haifiki kwa hizo mita 200.
 
Maigizo at work, kutembea mita mia mbili unaita waandishi wa habari wakutangaze ulivyookoa mamilioni ya pesa? Angetuambia hizo milioni alizookoa ni kiasi gani ndo tungejua alivyobana matumizi.
Hakuna mwandishi aliyeitwa mkuu, mtoa mada anasema mwandishi uchwara huyo kaamua kuandika huo utumbo wake wa mita 200 habari haijatolewa na ofisi ya waziri mkuu kitengo cha habar, na ndio maana sheria itawalazimu wawe na degree vinginevyo habari kama hizi zitaendelea kuandikwa kila siku
 
MR PM ni msanii hakuna anachopunguza katika garama kwanza ndo garama zinazidi.. sasa kama waziri mkuu anashinda DAR ES SALAAM alafu analala DODOMA sasa hapo anapunguza garama gani mbali na kuziongeza??
 
Wanabana matumizi alafu zilizo okolewa analipwa ProPesa afanye ziara mikoani kwangu hiki ni kichaa na kama kutembea mita 200 ni habari basi tuna safari ndefu na hawa bongo movie waliojificha kwenye uongozi wa serikali yetu.
 
Asante kwa taarifa, kwa waliofika dodoma ofisi ya waziri mkuu na ikulu ndogo ni parefu Kidogo mita 200 ni makadirio ni zaidi ya hapo
 
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha waziri mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 Katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi
Umeiona wapi hiyo mkuu. Naona umeianzisha wewe na kujikisoa wewe.
 
Hahaaa hahaaaaaaa mie nasubiri kila siku Atembee..AM SURE kuna siku ata cheat tu na kupanda gari [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4],ku remain consistently kazi kweli kweli [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wameokoa mil ngapi kwa huo umbali?..mambo ya kijinga nchi hii yanapewa nafasi sana!!..wao waseme ukweli tu kwamba farasi wamempanda kinyume..hali ni mbaya...
Ukimuunga mkono mjinga na wewe unakuwa ni mjinga. Hii inakuwa ni sawa na unaoga kichaa anachukua nguo zako na kukimbia nazo yeye akiwa amevaa nguo wewe unamfukuza ukiwa uchi. Lazima wewe utaonekana ni kichaa.

Mtoa hoja kaanzisha yeye mwenyewe hoja ya kwamba waziri mkuu kaokoa mamilioni ya pesa. Kisha kaendelea na kujikosoa. Wewe umemsikia nani akisifia kwa hilo la pm kutembea kwa miguu umbali wa 200mts!!
 
Back
Top Bottom