Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa kwani ni km 200 au mt 200...?? Mt 200 nahisi ni viwanja viwili vya football tuu sasa jamani hiyo mbona kawaida.?? Mbona mzee ruksa anakwenda km kadhaa?? E l je. Hebu mlete huyo mwandishi hapa tumpe mbokoUkimuunga mkono mjinga na wewe unakuwa ni mjinga. Hii inakuwa ni sawa na unaoga kichaa anachukua nguo zako na kukimbia nazo yeye akiwa amevaa nguo wewe unamfukuza ukiwa uchi. Lazima wewe utaonekana ni kichaa.
Mtoa hoja kaanzisha yeye mwenyewe hoja ya kwamba waziri mkuu kaokoa mamilioni ya pesa. Kisha kaendelea na kujikosoa. Wewe umemsikia nani akisifia kwa hilo la pm kutembea kwa miguu umbali wa 200mts!!
Asante kwa taarifa. Kesho usichoke kituletea taarifa kuwa mh. amebadilisha menu, sasa anashindia uji ili kusave budget.Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha waziri mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 Katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi
Mbona husomi kwa utulivu mkuu?Mshana umekuwa mtu wa kukosoa tu hata yasio na maana sasa shida iko wapi Waziri mkuu kutembea na Kusalimiana na Jamii inayomzunguka, Yule ni Icon na public figure ana waandishi wa habari wanaomfata popote alipo sioni haja ya kutoka povu hivo mkuu
[emoji12] kwani uongo, we january si ndo unaanza form one[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] vumilia tu tafadhali January tunarudi shule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji124] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81][emoji12] kwani uongo, we january si ndo unaanza form one
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mita 200 si viwanja vya mpira viwili tu?!Nina hakika tangu umeamka hadi sasa hivi haujatembea huo mbali wa mita 200. Tuache kulalamika lalamika kama wanawake.
Tatizo gani..? Tuache kudanganywa!Tatizo hapa ni hili swali sawa unatembea mita 800 lakini wewe ni Waziri Mkuu?