Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Hayo ni maigizo tu,juzi ijumaa kaeda kuswali pale magomeni kwenye msikiti wa kichangani,alikuwa na msafara wa magari 10,na pikipiki juu.na hao maaskari kibaaaao ova kuna vita.akasababisha watu tukae kwenye foleni kwa muda mrefu.sasa imagine magari 10 ni kiasi gani kilitumika.kwanza magari 10 ya nini yote hayo?[emoji15]
 
hahahaa eti kaokoa mamilioni ya hela .. wakat mita 200 ni sawa sawa na viwanja vya mipita viwili .. hata lita 10 haifiki
 
eti vyombo vya habari vya bongo imeona hiyo ni habari

sometimes naona mswaada wa nape ni mzuri sana
 
mimi huwa natembea km 7 kwa siku kwenda kazini,kwa siku 4 natembea km 28!!!nashangaa mwandishi kuripoti waziri kutembea mita 200!!!!
 
Kusainiwa kwa muswada wa habari kumeanza kufanya kazi sasa
 
naomba kuwaulza wanaoshabikia huo ujinga,hiv mnazifaham mita 200?kama huzifaham chukua urefu wa kiwanja kimoja cha mpira wa miguu toka goli had goli x2..sasa huo ni umbali wa kubana matumizi..sipendagi ujinga mjue..
 
Sidhani kama waziri mkuu alikuwa na nia ya kuokoa hela ,aliamua tu kutembea mpaka ofisini kwake inatakiwa tusitengeneze manemo ambayo hajayasema.
 
Watu wa kiki hao,wanapenda kututoa kwenye mijadala ya kitaifa ili tuwajadili,walitumia ya machali jana haikufua dafi..
 
Lita moja ya mafuta ni sawa na Km10,
Lita moja Tsht 2, 500
Km 10 ni sawa na mita2,000.

Yeye katumia mita 200, so kaokoa robo lita
 
Sidhani kama waziri mkuu alikuwa na nia ya kuokoa hela ,aliamua tu kutembea mpaka ofisini kwake inatakiwa tusitengeneze manemo ambayo hajayasema.
Lakini hakuna niliposema kuwa waziri alisema hivyo
 
Kawawa alikuwa anatembea sana hapo Dodoma ...sio kitu cha ajabu! tunadanganyika kwa vitu vidogo sana
 
yaan natamani kuwashushia tusi kwa maigizo yenu haya,mna bahati sheria inawalinda nyie ma.k.ma!
 
Back
Top Bottom