G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Haya ni maigizo kuliko yale ya tuhuma za mil 10, yani only 200 metres inagonga vichwa vya habari...hii ni sehemu ambyo angekuwa anaenda kwa miguu kila cku..magari 6? Ya nini kwa mita 200.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ujue nilikuwa nakuheshimu sanaIsichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
Mamilioni kiasi gani?? Taja digits..Si umeambiwa mamilioni yameokolewa, na hili la vipi siku zote anatembea labda mi naona hili ndio swali la ajabu lililomfanya mwandishi kutangaza habari hii yawezekana Waziri mkuu yeye kama mtu maarufu tokea aende Dodoma hakuwahi kushuhudiwa akitembea kwa Miguu kwa umbali huo.
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
Ameokoa kiasi gani? acha mbwembwe

Jamani me nina shida na jinsi ya kupata mkopo biasha yang ni ya matunda sasa kila sehem wanasema tin no naombeni ushauri na naombeni km kuna mtu anaweza kunikopesha kwa liba nipo tayar nipo kwenye hari ngumu nilisimama kutokana na matatizo nawaombeni sana jamani[emoji17]Shufaa
Huyu jamaa hesabu zimempita kushoto labda hajui vipimo, Mita 200? Viwanja 2 vya Mpira wa miguu,wengine tunapoishi kwenda msalani 300M,jikoni 200M,uhani 250M yaani ni urefu wa mtoto kutamba kwa dakika kadhaa tu.NA UHAKIKA HUJAMUELEWA MTOA MAADA