Waziri Mkuu apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara, kuiwasilisha kwa Rais ambaye ataitangaza hivi karibuni

Waziri Mkuu apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara, kuiwasilisha kwa Rais ambaye ataitangaza hivi karibuni

Itaanzia Asilimia ngapi?. Hapo ndipo penye mtiti na hii hari ya upepo inavyoenda.
 
Aongeze chochote kitu angalau kutuliza nafsi za watu, akili za wafanyakazi hazifanyi kazi tena miaka yote wanawaza ongezeko la mshahara.
Ulifanya sensa ukajua wafanyakazi wote wanawaza ongezeko la mshahara!?
 
Mkuu kweli hauna masikhara
Usifanye masihara na maisha ndugu.

Ukiwa serikalini hata kama mkataba wako unasoma ni parmanent and pensionable wewe inabidi uusome kinyume chake uusome short contract and not pensionable.

Hivi wale vyeti fake walioogopa kukopa wakiogopa kupokea mshahara kidogo wanahisikiaje sasa hivi?
 
Back
Top Bottom