Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.

Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.

Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.

Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.

C5099D42-1D62-4E3E-B6F3-64AA3B92B093.jpeg
541AE524-0CAF-4155-9A2D-7E1CCAFEBD45.jpeg
 
Duh mwenye nacho huongezewa
Deal hilooo
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.

Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.

Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.

Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.

Chanzo: ITV habari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Gwajima hayumo kwenye kamati? Au yeye yupo kwenye ile kamati ya kutengeneza ukabila wa kanda?
 
Ila chonde chonde!! Janga hili lisigeuzwe kuwa neema kwa wengine kwa ulaji haramu kama vile kufanya vikao vyenye posho kubwa kubwa, na ziara/safari zenye posho lukuki hata kutamani janga liendelee maana limeambatana na "neema”.
Tunaziombea kamati hizi ziwe chachu ya kukabili na kutokomeza janga hili la korona. Mungu awatie nguvu.
 
tunaweza kupata majukumu ya kila kamati... ili iturahisishie namna ya kutoa michango yetu ya mawazo kwenye kamati hizo!?
 
Back
Top Bottom