Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Kwanza nianze kumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayotupatia kila uchwao Watanzania hasa baada ya maradhi haya ya corona kuingia nchini.
Niombe kuwa wazi kuwa mimi ni miongoni mwa watanzania wachache ambao huwa na staki kupongeza watawala wetu wanapotmiza wajibu wao.
Mfano, hatua zote zilizochukuliwa na serikali ya Tanzania ingawa mimi sizioni kama zipo very strong ukilinganisha na maradhi yenyewe yanavyooua watu. Mimi siwezi wapongeza kamwe.
To make story short. Hatua ya Mh. Waziri Mkuu kuunda kamati ya kukinga maradhi ya corona na kikosi kazi chenyewe kinaundwa na WANASIASA WATUPU, sidhani kama ni busara.
Nadhani hii ni matokeo ya sisi wananchi kuwakabidhi wanasiasa maisha yetu yote. Mfano, leo hii Kamati Kuu ya Kitaifa inaundwa na Mawaziri na baadhi ya Makatibu Wakuu, kwanini isingeundwa na Madaktari?
Mimi ningeulizwa, kikosi kazi cha Taifa cha kukinga maradhi haya kilitakwa kuundea na wataalamu wa AFYA. I mean madakitari tuwaunganishe madakari wote kutoka hospitali za umma, za majeshi, na serikalini waunde timu.
KIKOSI KAZI CHANGU CHA PILI
Ni manesi wote nchini waundiwe team wawasaidie madakutari.
Kikosi kazi cha mwisho wanasiasa wao kazi yao watakuwepo kwa ajili ya kutimiza matakwa ya wataalamu hapo juu nankuhakikisha hawana upungufu wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app