All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,452
- 2,575
Kamati ni nyingi sana ilitakiwa iwe moja tu
Ni kuongeza gharama tu na migongano baina ya kamati
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuongeza gharama tu na migongano baina ya kamati
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.
Chanzo: ITV habari!
Sent using Jamii Forums mobile app