Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

Kwanza nianze kumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayotupatia kila uchwao Watanzania hasa baada ya maradhi haya ya corona kuingia nchini.

Niombe kuwa wazi kuwa mimi ni miongoni mwa watanzania wachache ambao huwa na staki kupongeza watawala wetu wanapotmiza wajibu wao.

Mfano, hatua zote zilizochukuliwa na serikali ya Tanzania ingawa mimi sizioni kama zipo very strong ukilinganisha na maradhi yenyewe yanavyooua watu. Mimi siwezi wapongeza kamwe.

To make story short. Hatua ya Mh. Waziri Mkuu kuunda kamati ya kukinga maradhi ya corona na kikosi kazi chenyewe kinaundwa na WANASIASA WATUPU, sidhani kama ni busara.

Nadhani hii ni matokeo ya sisi wananchi kuwakabidhi wanasiasa maisha yetu yote. Mfano, leo hii Kamati Kuu ya Kitaifa inaundwa na Mawaziri na baadhi ya Makatibu Wakuu, kwanini isingeundwa na Madaktari?

Mimi ningeulizwa, kikosi kazi cha Taifa cha kukinga maradhi haya kilitakwa kuundea na wataalamu wa AFYA. I mean madakitari tuwaunganishe madakari wote kutoka hospitali za umma, za majeshi, na serikalini waunde timu.

KIKOSI KAZI CHANGU CHA PILI

Ni manesi wote nchini waundiwe team wawasaidie madakutari.

Kikosi kazi cha mwisho wanasiasa wao kazi yao watakuwepo kwa ajili ya kutimiza matakwa ya wataalamu hapo juu nankuhakikisha hawana upungufu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vinahitajika vikosi vya kuunga mkono juhudi za Magufuli na hotuba zake na si vinginevyo.
 
Ila chonde chonde!! Janga hili lisigeuzwe kuwa neema kwa wengine kwa ulaji haramu kama vile kufanya vikao vyenye posho kubwa kubwa, na ziara/safari zenye posho lukuki hata kutamani janga liendelee maana limeambatana na "neema”.
Tunaziombea kamati hizi ziwe chachu ya kukabili na kutokomeza janga hili la korona. Mungu awatie nguvu.
Ulaji upi zaidi ya huu.
 
Timu tatu za nini zaidi ya matumizi mabovu ya hela za walipa kodi tu.
 
Afadhali.maana kuna watu wavyolalamika kuhusu serikali kutochkua hatua.wkt kila jambo linaenda kwa mipango.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaolalamika wameshindwa kujenga ofisi ya makao makuu ya chama japo wanapewa mamilioni ya RUSUKU kila mwezi na michango ya lazima ya wabunge wao. Wafuasi wao nao wamefungwa midomo wasihoji matumizi ya ruzuku.
 
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.

Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.

Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.

Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.

View attachment 1397434View attachment 1397436
WE NEED ENOUGH SUPPLY OF MEDICAL EQUIPMENtS TO PROTECT STAFFS AGAINTS COVID - 19 , NOT 3 COMMITTEE
 
Mwishoni , Kamati hiizi 3 zitatumia fedha ambazo zinatosha kununuliia vifaa vya kujikinga na corana katika hospital 12 za rufqa
 
Lazima niwe mkweli pale ambapo ninaona ukweli unastaili, mimi nilikuwa miongoni mwa wananji wa Tanzania nilie pinga Kamati kuu hasa kamati kuu iliyokuwa inaundwa na mawaziri na baadhi ya makatibu wakuu!

niliipinga kamati hii kwa sababu mimi ni miongoni mwa watu ambao siwaamini kabsa wanasiasa ingawa nawachagua kuwa viongozi wangu.

nilimuomba Mh waziri Mkuu kamati ya kwanza kabsa iundwe na madakitari na wataalamu wetu na watiwe MAABALA.

YA pili iundwe na hao watu wake, na ya tatu hata mimi mpiga ramli angeniweka kwenye kamati ningekubali (mzee wa GAMBOSHI tunayo nafasi yetu).

Tunajua kamati hizo zilizoundwa zinalipoti kwake sasa tunahitaji kujua mchango wa hizo kamati, zimekuja na ushauli gani maana wagonjwa wanaongezeka na mbinu ni zile zile kunawa mikono, na nyingine mbili hizi ndo njia ambazo naweza sema zilibuniwa na wizara ya afya kabla ya kamati hizo sasa nini wanafanya?

Nina wasi wasi mh waziri mkuu husje kuwa umeunda kama zile za mzee Job ndugah mpaka unajiuliza hivi izi kamati kweli? matokeo yake ndo TANZANIA tunaona iliko fika.

walio pewa fursa ya kuunda kamati njooni na mawazo ya kuongeza mbinu za kujikinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom